DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Wanajua kung'ata na kupuliza[emoji2]Halafu kinachonishangaza why double agents mara nyingi hutokea kuaminiwa na hata matukio Yao ya uyuda Huwa hawashtukiwi kiupesi [emoji28] Huwa wanatumia Nini ku fool waaminiwe?