Double agents, double impacts

Double agents, double impacts

Halafu kinachonishangaza why double agents mara nyingi hutokea kuaminiwa na hata matukio Yao ya uyuda Huwa hawashtukiwi kiupesi [emoji28] Huwa wanatumia Nini ku fool waaminiwe?
Wanajua kung'ata na kupuliza[emoji2]
 
[emoji28][emoji28]kumbe Hadi CIA nao waliingizwa Cha kike nyie [emoji28][emoji28]kumbe hata uwe smart vipi lazima ukamatike tu huyu Zhomov was genius kanifuraisha sana.
Hafu huyu Zhomov alipoteleaga wapi mazima?
Angalia vizur Vita ya UKRAINE,
afu fuatilia zile update za CIA na M16 Khs Vita inayoendelea utagundua walikua wanalishwa matango pori.

Tangu February mwaka Juzi, tunaambiwa Mara RUSSIA kaishiwa chakula, Mara wamebakiza silaha za mwezi mzima, Mara prigo kamsaliti Putin[emoji23]
 
Halafu ka hao CIA hutungiwa Sheria na saa ingine kufikishwa bungeni na kuwa accountable why Kwa nchi yetu hizi intelligence Zina work under president instead saa nyingine kuwa hata independent body au bunge ili liwe accountable and more serious
Uku intelligence zetu hazipo kwa maslahi ya taifa,Bali kuilinda selikali iliyoko madarakani
 
Sema ni huku Tanzania watu kupoteza watu ni rahisi Kwa wenzetu hao investigative journalist wanalindwa Kuna dada ni mwandishi kipindi chake Cha uchunguzi aisee huingia Hadi kwenye magenge hatari ya uhalifu na hufanya chunguzi, Kuna sehemu alienda Nigeria kwenye mafuta ya magendo nusu wamlipue.
So nika conclude bongo bado hatujafikia hyo level, na hata Jerry muro sijui ilikuwaje tu
Kuna yule mwandishi anaripoti kipindi Cha DRUG INC kuhusu magenge ya madawa ya kulevya, aisee Ni balaa na nusu[emoji4]
 
"If you keep on the past, the future will never discover you"
Hii statement niliwahi kuisoma kwenye thread moja ya Le Mutus (RIP), Nusu majivu, nusu damu.

Possibly huyu jamaa anaweza akaja akasimama kwenye nafasi ya Le Mutuz hapo baadaye
Ulikua Msemo wa OSAM BIN LADEN
jamaa alikua hatumii simu kabisa[emoji4]
 
Halafu ka hao CIA hutungiwa Sheria na saa ingine kufikishwa bungeni na kuwa accountable why Kwa nchi yetu hizi intelligence Zina work under president instead saa nyingine kuwa hata independent body au bunge ili liwe accountable and more serious
Kwa sababu ya tofauti ya mfumo wa kiutawala ktk nchi na nchi. Kwenye nchi za Kibepari/kiliberali, Mamlaka za Ujasusi ni Mali ya Wananchi wote ktk nchi, wakati kwenye nchi za Kijamaa/Kikomunisti, Idara za Ujasusi ni Taasisi ambayo ni mali binafsi ya Rais wa nchi husika pamoja Utawala wake kwa lengo la kulinda maslahi yake na ya utawala wake.
 
Back
Top Bottom