Double agents, double impacts

Sema ni huku Tanzania watu kupoteza watu ni rahisi Kwa wenzetu hao investigative journalist wanalindwa Kuna dada ni mwandishi kipindi chake Cha uchunguzi aisee huingia Hadi kwenye magenge hatari ya uhalifu na hufanya chunguzi, Kuna sehemu alienda Nigeria kwenye mafuta ya magendo nusu wamlipue.
So nika conclude bongo bado hatujafikia hyo level, na hata Jerry muro sijui ilikuwaje tu
 
Hawa ndio wanauza matango pori mana wapo NJE NDANI [emoji23][emoji23] ukifunga mlango unawakuta ndani na ukifungua mlango unawakuta nje
[emoji28][emoji28][emoji28] hatari sana Hawa watu aisee, na ma double agent ka wachawi tu they can fool you all the time hasa ka CIA walivokuwa na hamu ya kujua kinachoendelea huko Soviet, lazima upigwe
 
Ni hatari kutumia simu maana zinasikilizwa wakitaka communication ni face to face to basi
"If you keep on the past, the future will never discover you"
Hii statement niliwahi kuisoma kwenye thread moja ya Le Mutus (RIP), Nusu majivu, nusu damu.

Possibly huyu jamaa anaweza akaja akasimama kwenye nafasi ya Le Mutuz hapo baadaye
 
Halafu ka hao CIA hutungiwa Sheria na saa ingine kufikishwa bungeni na kuwa accountable why Kwa nchi yetu hizi intelligence Zina work under president instead saa nyingine kuwa hata independent body au bunge ili liwe accountable and more serious
Kama bunge letu ni kusifia kila kitu unategemea wanaweza kuiwajibisha idara pendwa ikiwa imefanya makosa ?
 
Ule Uzi wa Oleg watu wengi waliona KGB kuwa vilaza huku nao CIA wamefanywa f.ool [emoji28][emoji28] Tena kupewa matango pori ya haja, bila kushtuka, at least now walipata machungu ka ya KGB waliyopata Kwa Oleg
🏃🏾‍♂️Kumbuka hata rais yupo chini ya mamlaka
 
Kama bunge letu ni kusifia kila kitu unategemea wanaweza kuiwajibisha idara pendwa ikiwa imefanya makosa ?
[emoji28][emoji28][emoji28] ndio hapo ziwe tu taasisi huru na ziwe na meno ya kung'ata yoyote ila Kwa hili bunge la kina Dr tulia, na Dr musukuma hamna kitu
 
 
Ni hatari kutumia simu maana zinasikilizwa wakitaka communication ni face to face to basi
Na siku hizi ujasusi mwingi sana hapa bongo wanaufanya kwenye simu za watu au kwenye vifaa vingine vya ki-electronic ili kudukua mawasiliano ya wahusika. Ndio maana walilazimisha kusajili simu kwa kutumia namba za vitambulisho vya NIDA. Ni hatari sana.
 
Nmewaza Usikute na Vita ya Ukraine,marekani alipotoshwa na double agents khs uwezo wa kijeshi wa RUSSIA,mpaka sahv Putin anawasapraizi[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…