Kwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha.