Double Standard ndio italiangamiza Taifa

Ole atapewa haki yake kama ambavyo wengine ambao bado wawajasweka lupango watakavyopata haki yao bila upendeleo. Vita subra.
 

Naunga mkono hoja , isiwe kwa sabaya tu , wateule wengi wa jiwe walifanya madudu ya kutisha ,wale wote waliotumia magenge ya wahalifu na ujambazi sheria ichukue mkondo wake.
 
wataje, unategemea serikali ijue kila kitu, wataje engine.
 
Naunga mkono hoja , isiwe kwa sabaya tu , wateule wengi wa jiwe walifanya madudu ya kutisha ,wale wote waliotumia magenge ya wahalifu na ujambazi sheria ichukue mkondo wake.

Naam Mkuu.

Waliwalazimisha na kuingilia TISS wakawatumikisha watakavyo.
 
Yaani wewe hata kama angekua ole sende ama DA B ama yeyote ungesema haya haya

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja.

1. Kumshughulikia Ole Sebaya peke yake wakati wapo wengine ni double standard/ aka ubaguzi

2. Kuwashughulikia wa awamu ya jiwe pekee wakati wapo wengine awamu zingine ni double standard/ aka ubaguzi. Itaonekana kama MNA hasira na marehemu

3. Kushughulikia makosa baadhi tu wakati yapo makosa ya ufisadi ya kutisha nchi hii ni double standard/ aka ubaguzi
 
Kina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…