Double standards kuhusu kunakoitwa kufeli [ Vyuo & CPA vs Sekondari]

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Mara nyingi yanapotoka matokeo ya kidato cha pili ama cha nne, watu wengi wamekuwa wakilaumu wanafunzi kwamba hawasomi, wanaendekeza uhuni na wanashinda fb. Majuzi yametoka matokeo ya kidato cha pili na 35% ya watahiniwa wamefeli, hapa kila mmoja ameongea analolijua pengine hata pasipo kufanya utafiti...

Yakija matokeo ya CPA na bodi nyinginezo na mara nyingine vyuo utasikia, "bodi wanacomplicate" mara "walimu wanabana" na kujitetea kwingine kwingi kusiko na msingi.
Hapa majuzi matokeo ya CPA 84% ya watahiniwa wamefeli na bado wanaleta utetezi huo huo

Mytake: kama ni kunakoitwa kubana au kucomplicate, kwanini isiwe NECTA ndiyo wanacomplicate mitihani. Ninavyojua mimi ugumu wa kitu unakaa kichwani mwa mtu.

Unajua mkuu, ki ukweli, elimu ya Chuo Kikuu ni rahisi sana, kwa dhana moja tu, anayekufundisha, ndo mtoa test, ndo mtoa take home quiz/test/asignment, ndo mwenye kuja kwenye seminars/ au anamtuma Tutorial assignment, mwisho wa siku, mkishamsoma anataka nini, basi mnaviziana, na kumaliza mchezo.

Elimu ya Secondary (Mitihani ya NECTA form 4 na six ni tofauti), mtunzi, mwinge, msahishaji mwingine, nk nk, pia vile vile kwenye mitihani ya CPA. Sasa hapa ndipo ugumu unaanza, manake unasoma elimu ya kuku, unaokoteza kule na kule, syllabus kuubwa, hujui watatoka wapi, Review Classes, kama za akina Musasira ndo angalau zinaokoa jahazi.

Factors kama hizi, huwa zinaleta visingizio visivyo na mantiki. Suala hapa ni msuli tu!

kweli mkuu

Back
Top Bottom