tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Mara nyingi yanapotoka matokeo ya kidato cha pili ama cha nne, watu wengi wamekuwa wakilaumu wanafunzi kwamba hawasomi, wanaendekeza uhuni na wanashinda fb. Majuzi yametoka matokeo ya kidato cha pili na 35% ya watahiniwa wamefeli, hapa kila mmoja ameongea analolijua pengine hata pasipo kufanya utafiti...
Yakija matokeo ya CPA na bodi nyinginezo na mara nyingine vyuo utasikia, "bodi wanacomplicate" mara "walimu wanabana" na kujitetea kwingine kwingi kusiko na msingi.
Hapa majuzi matokeo ya CPA 84% ya watahiniwa wamefeli na bado wanaleta utetezi huo huo
Mytake: kama ni kunakoitwa kubana au kucomplicate, kwanini isiwe NECTA ndiyo wanacomplicate mitihani. Ninavyojua mimi ugumu wa kitu unakaa kichwani mwa mtu.