Double standards: TAKUKURU yashindwa kuwachukulia hatua watoa rushwa wa CCM wasema chama ndio kiwachukulie hatua

Double standards: TAKUKURU yashindwa kuwachukulia hatua watoa rushwa wa CCM wasema chama ndio kiwachukulie hatua

Hivi ikitokea mtu wa chadema akifanya Kama alivyofanya mwanjelwa TAKUKURU watamuacha?
 
TAKUKURU ni Taasisi inayoendeshwa kwa mujibu wa sheria na inataratibu zake katika utendaji, hata maamuzi yaliyotelewa dhidi ya watia nia wa CCM yametokana na taratibu za utendaji kazi wa Taasisi hiyo.
Hii inchi ina wajinga wengi sana
 
Hatupaswi kuilaumu TAKUKURU kwa hatua hiyo, kwani imeamua kufanya hivyo ili kamati ya maadili ya CCM iweze kuwachukuliwa hatua wahusika wa vitendo vya rushwa kwa kuwaondolewa sifa za kugombea nafasi mabalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu.

Kamati ya ccm ndio mahakama au jela?
 
TAKUKURU ni Taasisi inayoendeshwa kwa mujibu wa sheria na inataratibu zake katika utendaji, hata maamuzi yaliyotelewa dhidi ya watia nia wa CCM yametokana na taratibu za utendaji kazi wa Taasisi hiyo.

Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Kuna muda nacheka sana ,kuna muda nakasalikia sana
 
Msijifanye nmaona ni jambo la ajabu, maamuzi hayo yametolewa kulingana na kanuni na taratibu zaTaasisi hiyo. Kma kuna mtu ana malalamiko aende mahakamani
Kanuni hizo hizo zitafanya kazi upande wa Chadema, ACT, Chauma?
Kanuni hizo haziipi TAKUKURU mamlaka ya kufikisha mahakamani mtuhumiwa wa rushwa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom