Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kwa hiyo aliyemsajili pale Simba alileta mchezaji wa kimataifa wa kupewa muda. Doumbia naye aache masihara. Huyo Doumbia siku nikimuona anacheza halafu Mgunda yupo benchi basi nitajua kweli 10% zipo kwenye usajili kama watu wanavyosema.
Hana stahili ya kushangilia kwa sababu yeye kufunga ni nadra sana. Sana sana huwa anawasaidia wakina Libase kushangilia wakipata magoli. Hata jana kasaidia kushangilia au haukumuona wakati analenga shabaha na wenzake.?Hivi hata style yake ya ushangiliaji inafahamika kweli? Mnaomuonaga huko mazoezini mtusaidie
Kama uliwahi kumuona Victor Osimhen akishangilia, na yeye anashangilia hivyo hivyo. Au humuoni hadi kichwani amepaka blichi ili afanane naye? Ameshindwa tu kumuiga kuvaa ile mask.Hivi hata style yake ya ushangiliaji inafahamika kweli? Mnaomuonaga huko mazoezini mtusaidie
π¦πππ