Ndugu yangu Rutasubayuma, hivi bado unalalama kuhusu malipo ya Dowans?, inamaana mpaka hapa tuipofikia, wewe hujauelewa mchezo mzima?.
Anayedaiwa fidia kasema atalipa sasa wewe unataka nini tena?.
Hivihujagundua hayo majina ya wamiliki pale Brella most ni fictitious names?. The true benefactors wa dowans ni wengine, na amini usiamini, ukiwasikia, huwezi amini!.
Hao Tanesco wamesign mkataba unaotumia sheria za Tanzania lakini wenye vifungu kibao sio tu vinavyowafunga, bali vinavyoifanya sheria yetu iwe redundanty na supremacy ni rules zao!.
Kilichobakia sasa tunataka kuona hao wanasheria wazalendo na uzalendo wao kwa nchi yao. Ukisha sign kuwa rules must be obeyed, thus are the rules of the game, and that is the game people play, the winner takes it all, the looser standing small, and in this matter, the looses are we Tanzanians in general minus the benefisharies ambao pia ni wenzetu!.