Down Memory Lane

Down Memory Lane

Kama hili shairi unaamka unakuta jamaa kaondoka kazini,pembeni kikaratasi kaandika na peni, lazima ukenue siku nzima,haijalishi kakopi au kayatoa kwenye movie
 
Kweli mapenzi yanarun dunia. Inamaana mshikaji alitoswa? teh! teh!
 
To write the words is one aspect,to present is another....................and to read between the lines is by itself a task..................
 
Kama hili shairi unaamka unakuta jamaa kaondoka kazini,pembeni kikaratasi kaandika na peni, lazima ukenue siku nzima,haijalishi kakopi au kayatoa kwenye movie
Wallah Gaga, na siku hiyo kila kitu kitafanyika kwa ukamilifu wake....(heheee unajiskia dunia yote mali yako)
 
Ina maana hata ile Midomo zege naye Ikipenda huwa inakuwa Mishahiri,ha ha ha ha ha ha ha!!!
Eeh, ukiendekeza domo zito, wenzio watatunga na kuimba....shangaaa!
 
Back
Top Bottom