Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
Ingekua vema kumuimbia mlengwa hili shairi ikiwa aghalab yeye kuingia humu. Ujumbe either hautofika au utachelewa kufika.
Wakatabahu.
Wallah Gaga, na siku hiyo kila kitu kitafanyika kwa ukamilifu wake....(heheee unajiskia dunia yote mali yako)Kama hili shairi unaamka unakuta jamaa kaondoka kazini,pembeni kikaratasi kaandika na peni, lazima ukenue siku nzima,haijalishi kakopi au kayatoa kwenye movie
Eeh, ukiendekeza domo zito, wenzio watatunga na kuimba....shangaaa!Ina maana hata ile Midomo zege naye Ikipenda huwa inakuwa Mishahiri,ha ha ha ha ha ha ha!!!