Doyo akemea wanaobeza viongozi wa Tume ya Jaji Chande

Lexuss

Member
Joined
Mar 24, 2026
Posts
24
Reaction score
28
Your browser is not able to display this video.

Aliyekuwa mgombea nafasi ya Urais mwaka 2025 kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan amewaasa Watanzania kuacha kuwatukana na kuwakejeli Wajumbe wa Tume ya Uchunguzi kwani kwanza ni wakubwa wa umri na ni wabobevu wa Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…