Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na NA baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
CHUNGUZ Imani na matumaini ya Doyo kwa Tume hiyo yanatokana na ukweli kwamba Tume imesheheni watu Muhimu wenye ubobevu na weledi mkubwa kama vile Majaji Wastaafu, Mawaziri Wastaafu na Viongozi wakubwa wa Ulinzi na Usalama Wastaafu, na hivyo Watanzania watarajie ripoti itakayokidhi matarajio.