PostGE2025 Doyo: Watanzania wote wana matumaini na Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na NA baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

CHUNGUZ Imani na matumaini ya Doyo kwa Tume hiyo yanatokana na ukweli kwamba Tume imesheheni watu Muhimu wenye ubobevu na weledi mkubwa kama vile Majaji Wastaafu, Mawaziri Wastaafu na Viongozi wakubwa wa Ulinzi na Usalama Wastaafu, na hivyo Watanzania watarajie ripoti itakayokidhi matarajio.

Your browser is not able to display this video.
 
STUPID, IT WONT HELP! KULA HELA ZA CONTENT CREATOR NA UISHIE1 BLOOD BASTARD!
 
Faki zati sonofabitch! Nani amemuambia tuna matumaini?
 
Kila siku wanapaisha tarehe mi sina imani nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…