DP Gachagua: Rais Ruto kama nimekukosea naomba msamaha, Wabunge kama nimewakosea naomba msamaha na Kanisa mnisamehe!

DP Gachagua: Rais Ruto kama nimekukosea naomba msamaha, Wabunge kama nimewakosea naomba msamaha na Kanisa mnisamehe!

Katiba yao ina nafasi ya uteuzi wa Makamu Rais?
 
Naibu Rais mh Gachagua akiwa Kanisani amewaomba msamaha Wakenya wote kama kuna jambo amewakosea

Aidha Gachagua amemuomba msamaha Rais Ruto na Wabunge endapo aliwakosea jambo lolote

Citizen Tv
Dah,
muungwana ameongea kwa majuto na hisia kali mno huku machozi yakimlenga...

ila ndio hivyo tena gari moshi limeshaanza safari 🐒
 
Back
Top Bottom