ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Oct 6, 2024 #21 Katiba yao ina nafasi ya uteuzi wa Makamu Rais?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Oct 6, 2024 #22 johnthebaptist said: Naibu Rais mh Gachagua akiwa Kanisani amewaomba msamaha Wakenya wote kama kuna jambo amewakosea Aidha Gachagua amemuomba msamaha Rais Ruto na Wabunge endapo aliwakosea jambo lolote Citizen Tv Click to expand... Dah, muungwana ameongea kwa majuto na hisia kali mno huku machozi yakimlenga... ila ndio hivyo tena gari moshi limeshaanza safari 🐒
johnthebaptist said: Naibu Rais mh Gachagua akiwa Kanisani amewaomba msamaha Wakenya wote kama kuna jambo amewakosea Aidha Gachagua amemuomba msamaha Rais Ruto na Wabunge endapo aliwakosea jambo lolote Citizen Tv Click to expand... Dah, muungwana ameongea kwa majuto na hisia kali mno huku machozi yakimlenga... ila ndio hivyo tena gari moshi limeshaanza safari 🐒