DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

Bdo ndoto zenu wakenya sio? Ili Bandari zenu ziendelee kuwa juu?

Mtasubiri sana nazi chini ya mwembe.

Tanzania ya sasa sio mliyoiziea
Naona ushatia timu mkuu 🤣🤣🤣piga kazi kikubwa tumbo lipate diko!! Kimbiza hao wahafidhina wa nchi jirani!
 
Madalali wa DP World wamebakia na chaguo moja tu kati ya matatu.

1. Kuufutilia mbali kwanza mkataba huu wa DP World.

2. Kukaa pembeni kwa hiari.
3. Kukalishwa pembeni kwa nguvu.
Faizafoxy njoo huku kuna mzamiaji analeta taharuki!!
 
Mkuu mbona kama wewe ndiyo unatupotosha? Kila mwenye akili timamu anajua hicho unachokisema wala hakijaonekana hivyo kwenye mkataba.

Jipange unapopiga propaganda zako ziwe na uhusiano japo na ukweli.
Sasa naamini umenielewa.
 
Hii system mpya ya kufanya Truck announcements imeanza wiki iliyopita unapoingiza na kutoa gari Bandarini ni DP World kaleta au nani?
 
Wewe mwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…