DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

Kuna siku nilienda hapo kurasini nikawasikia askari wakiongelea hilo la kuhamishwa kwamba kuna mwekezaji analichukua eno hilo.

Kama huyu mwekezaji anaanza kupewa maeneo nyeti ya taasisi za serikali kama polisi na hilo unalodai ataingiza magari yake kwa ajili ya usafirishaji na hivyo kuua biashara za wazawa ni mwendelezo wa matumizi ya mabavu ya baadhi ya viongozi wenye maslahi yao binafsi dhidi ya matakwa ya raia na kinyume na maslahi ya nchi.
 
Nchi ina mapori ya kutosha hii kuhamisha chuo siyo issue kubwa.
 
Wanhechukua tu soko la feri, kivukoni front yote, ikulu ya magogoni, Azania front yote, yaani hiyo pwani yote mpaka gerezani Kwa ufanisi zaidi ...
 
Kwa hili sitavumilia nipo tayari nijichome moto hadharani kwaajili ya watanzia wenzangu, labda Dp world wakinipa mgao na mimi ndo ntakaa kimya

Bila hivyo ntajichoma moto hadharani
Kabla ujajichoma Moto uje nnikufffphillle farlla ww
 
CCM oyeee
 
Wachukuee Kigamboni na magogoni yoteee ni sehemu ya bandarii piaa tokana na ule mkataba wa kibwegeee...
 
Hii ndio sababu hasa ya nyie na maaskofu kuupinga huu uwekezaji kila kitu kitajiweka wazi ni suala la muda tu.
Mkuu umenunuliwa kwa Shilingi ngapi huo Ukibaraka unaoufanya dhidi ya hawa Akina Sultan wageuze watu watumwa. Hii nyuzi pekee umetoa povu zaidi ya posts 45.
Daaaaah wewe ni chawa Pro Max
 
Hahahaaa!Kazi iendelee na bandari tunakabidhi kwa wajuvi wa hizo mambo.
 
vyote vinawekana, maana Samia ameyafanya haya kwa wajomba na wenzangu katika Imani
Hii Imani nadhani Ina kauchawi ndani yake.
Prof Assad Ni kipanga, msomi mzuri lkn kwasababu DP Ina Mambo ya Imani ndani yake, keshatugeuka Yuko upande wa DP.
Zito na Lipumba wako huko huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…