DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Asiyejua aendako hapotei
Nenda na mawazo yako mkuu hutapotea kwa kuwa hujui wandako
Huu ndio wakati wa kuirudisha Tanganyika yetu..

Yaani Mungu kawapiga upofu wa akili na ufahamu kiasi cha ma - CCM kuanza kuweka wazi ujinga na upumbavu wao waliouficha kwa miaka mingi kupitia mikataba waliyoingia na watu wa mataifa ya nje kuuza rasrimali asili zetu..

Na kwa sababu hiyo, upepo unawavumia kiasi cha nguo zenu mlizovaa kufunuliwa na nyeti zenu kuonekana wazi...

Kama mna akili, fahamuni hili, kuwa "mtu mzima akivuliwa nguo, basi huchutama chini kuficha aibu yake". Inashangaza sana kuwa ninyi mnapuyanga hivyo na uchi wenu..
 
Si weka wewe ambavyo nimeficha? Yanini unaandikia mate na wino upo?

Au ulifata maneno ya kudanganywa?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Article 7:3 is irreversible until consultation, what if DP World rejects the conversation when the project fails or when there is stiff opposition from the citizens concerning the agreement? This is dangerous since they will drag us to international courts and be punished for the act. This article should have never been written because it confines the government in a cell which it will be difficult to be removed from.

Article 4:2,4:3, Article 2:1 has been cracking my head. Well, it's like we are selling our sovereignty to the Arabs. It's like we are begging them with our knees knelt as if they are a god.
And also there is no deadline of the act, only given phase 1 for 12 months(the port of Dar Es Salaam), what about other ports?

Those are few, they are so many, although there are some articles which are good as giving chance of employment and training to Tanzanians.
Investment is not bad but this act needs changes.
 
FaizaFoxy
1.Kwa nini hii IGA ihusishe vitu vyote hivi vya Tanzania kama sea ports,lake ports,special economic zones,logistics parks,trade corridors and other strategic port infrastructure,na sio bandari ya DSM tu? Huoni kwamba tutakua tumesurrender vitu hivi vyote kwa Dubai?
Na kwa nini Dp-w
wahitaji IGA na sio mkataba wa kawaida kama wa TICTS ambao haukuhusisha IGA??
 
FaizaFoxy
2.Kwa nini Tanzania inatakiwa imjulishe kwanza Dubai fursa zozote zile za uwekezaji wa bandari? Huoni kwamba hiyo inatunyima sovereignty yetu? Kwa hiyo leo tukipata muwekezaji katika bandari za Mwanza inatakiwa kwanza Dubai apewe taarifa?? Kwa nini hilo??

View attachment 2663411
 
Kusema kweli mkataba ushasainiwa, huwezi fanya chochote, kiufupi tusubiri tuone mwisho wake, kama ni employment zitakuja na teknolojia ambao itaziba mianya ya wizi .
Ila na wasiwasi tumeuza sovereignty yetu kwao.
Time is a second good teacher after God.
 
Mwenyewe nimeshangaa, it's as if tuko utumwani.
 
Kusainiwa it's just one step to go but not gone yet...

Utekelezaji wake ilikuwa lazima mkataba uwe ratified na bunge. This is step two to go, but still not gone yet...

Serikali mbili hizi (Emirate of Dubai & Tanganyika ya Samia) zitafanya exchange ya documents hizo ambazo ziko ratified na mamlaka za nchi husika...

Hatua hii ndiyo ya mwisho na itaruhusu shughuli kuanza...

Hata hivyo, hii hatua bado na kwa jinsi moto ulivyowaka, tunaweza uwezo wa 85% umma kushinda na kuzuia jambo hili...

Wako uchi hawa. Hawaendi popote...
 
Wako uchi kabisa. Ila na wasiwasi watatumia nguvu kutimiza hili we subiri uone.
Kukubali ile azimio was one step ahead, the next step itakuwa by force na kumbuka wabunge asilimia 98% ni CCM, so wataleta unafiki ila wataipitisha Soon.
 

Waswahili wanasema kikulacho ki nguoni mwako. Siamini kama haya yanayoendelea yanatokea kwa bahati mbaya. Badala ya kupambana na public, tujiulize tumefikajefikaje hapa? Kwa interest za nani?

Wakati wa awamu ya pili suala la IOC nusura lilete balaa. Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kuhusu uongozi na hatma ya Tanzania. Na alisema wazi, Rais lazima alindwe. hatuwezi kukubali kuona Rais anatolewa kwa njia haramu kabla ya muda wake wa uongozi. Na alienda mbali kwa kutaja majina ya watu ambao alisema walimshauri vibaya Rais. Akawataja hadharani akisema wajiuzuru. Nia yake ilikuwa ni kuonyesha kuwa dhamana ya uongozi ni kitu kikubwa na uRais ni taasisi. Rais anashauriwa maana sio mtaalamu wa kila kitu.

Nchi kama zetu hizi tusianze kuchezea uongozi mkuu wa nchi. Gharama yake inaweza kuwa kubwa bila sababu ya msingi. Huu mkataba unaombwa ubadilishwe baadhi ya vipengele. Ni hivyo vipengele? Maana shida ya mwanadamu ni kupata fursa na madaraka, wakati mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…