DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Ni HASARA mzazi kusomesha mtoto na baada ya kumaliza masomo yake,

Mzazi unakuja kusikia mwanao ameungana na wasaliti kuifisadi nchi.

Hilo nalo ni baa kubwa na kujishibisha upepo.
Hao wazawa walioko bandarini kwa sasa hawaifisadi nchi? Kubali tu kwamba concept ya uzawa na uzalendo kwa mtu mweusi haina maana tena kwa sasa. Kwa sasa ni mtu yeyote mwenye uwezo wa kudeliver in a win win situation ndie atakayetafutwa. Mliiuza nchi na viwanda vyake leo hii hadi matoroli tunaimport kutoka China af leo hii umsingizie mama anavojaribu kutafta model nyingine ya utawala wa nchi?
 
😊😊
Kwanini Watu hawaamini Akili na maamuzi ya viongozi wao?
Sio kwamba hawawaamini viongozi wao, wapo kazini wakiitumikia ile pesa waliyopewa na mafisadi wanaokwenda kupoteza mazima ule utajiri wao wanaoupata kupitia bandari yetu kuwa na mizengwe isiyoisha.

Matajiri wanaofanya biashara chafu hapo bandarini wanawatumia hawa wote wenye kuja humu na hoja za 'uarabu wa Samia' hoja za 'bandari yetu imeuzwa'.

Wapo wanaounga mkono hoja za hao wanaolipwa pesa na mafisadi bila ya kujua kwa kina hicho wanachokipinga kwa sasa, ni bendera hufuata upepo.
 
Pia ipo concept ya kibaguzi kwamba Huyu Samia na Waziri Mbarawa ni wazanzibari hivyo eti ni makosa kuwa sehemu ya maamuzi ya masuala ya bandari ya huku Bara.

Concept zote hizi zinabuniwa na watu waliokwisha kulipwa pesa na mafisadi wanaoneemeka na hiyo bandari kuendeshwa kama inavyoendeshwa hivi sasa.
 
Ukomo haupo kwenye mikataba hii itakayoingiwa kati ya hao waarabu na sisi wazalendo. Kumbuka mikataba ambayo ni operational inakuwa na nguvu kuliko huu wa IGA uliopitishwa bungeni.
 
Wewe kweli boksi, kwa hiyo unafikri hao Waarabu ni wajinga wangeweka wazi hivyo kipengele kwamba Tanzania inatoa bandari zote kwa DP World ili hata wakina Babu Tale, Kibajaji na Musukuma wang'amue?!
Msukuma kauzidi akili na pesa ukoo wako wote.
 
Inasikitisha sana.......hawa watu wetu nadhani shuleni walenda kusomea ujinga. Kwa hali ya kawaida huu mkataba haufai na inashangaza kama uongozi top wa nchi umekubaliana na haya ma ushuzi
Ni jambo gani linafanya mkataba usifae
 
Umeongea vizuri
Tuna shida kubwa wa Tanzania kwenye uendeshaji wa miradi
Hatuna nyenzo, technology wala ubunifu
Waacha tuwape wenye uwezo wafanye kwa manufaa ya Taifa
 
DP World unakosea kusema wapo successful nchi nyingine, nchi nyingi walizowekeza wamefunguliwa kesi mahakamani, google ujionee.

Wale waarabu wameshirikiana na wanasiasa wetu wenye njaa kutupeleka utumwani.
Wewe uliye giggle tuletee hizo kesi
Ni viongozi gani wamekula pesa za DPW? Wakati wanapewa pesa uliona, shngapi wamepewa?
 
Endelea kumpigia debe Mama muky Hassan Suluhu...

ila Ummy unapambana kwakweli dada'angu 😂😂😂... umewachezea sana watu akili humu kwa kufuata nyendo za bwana kigogo

Watu wanahisihisi tu! Kwamba "hivi huyu Faiza ni nani?!" 🤔🤔🤔😂😂😂😂🙌🏾👍🏾

Jitahidi uwepo kwenye orodha ya maswahaba wa Mama uchaguzi ujao ambao tutazimiwa mtandao wao waendelee kudukua ili washinde kwa 95%+
 
Ni Kweli, Kwa ujinga wa mtu mweusi, Waganga wa kienyeji Wana pesa balaa.

Bt pesa zao nyingi za wizi haziondoi uendawazimu wao vichwani.
Akili ni pesa.Hao unaodai wanaakili ndiyo haohao ambao akili zao zinawaza kuiba ili kuwa na pesa.Wasomi wote wanataka pesa ndefu katika malipo yao,ukilijua hili basi Msukuma anakuwa na akili nyingi kuliko wengi wa hao wasomi njaa.
 
Akili ni pesa.Hao unaodai wanaakili ndiyo haohao ambao akili zao zinawaza kuiba ili kuwa na pesa.Wasomi wote wanataka pesa ndefu katika malipo yao,ukilijua hili basi Msukuma anakuwa na akili nyingi kuliko wengi wa hao wasomi njaa.
Huwezi ukawa na AKILI timamu, ukawa mganga wa kienyeji.
 
Mbovu kivipi? Tukijadili tuwe tunaonesha na ubovu wengine hatuelewi
 
Kwanini bandari za Zanzibar zimeondolewa kwenye hiki mnachoita 'neema ya uwekezaji'?
Zanzibar wana biashara kiasi gani katika shughuli za bandari? Mnataka wajumuishwe halaf badae muanze kulalamika wanatunyonya Tanganyika

Mnafikiri kungekuwa na biashara wasingejumuishwa?
 
Kifungu no 23 (4) ,22,21,19,10 hivi aliyeusaini alikuwa na akili Timamu au kuwa sababu ya uzanzibar
Watanganyika hakuna mkataba wa kijinga kama huu
 
Kipengere 23,22,21,19,14,10 na 2
Watoto wetu watatuponda kwa kuona tunaacha wazanzibar waiuze nchi kwa mkataba usio na ukomo yani ,
Usiorekebishika
Usio na ukomo
Unaomilikisha ardhi na haki zote
Na mkataba usio panda samani ,
Mkataba wa siri.
Wazanzibar wameuza Tanganyika yetu
 
Waliosaini huku ni Professor na Katibu wake., tuambieni kule waliosaini ni kina nani. Maana kila siku sanaaa tu, hoja zetu hamjibu ila mnatetea tu mpaka mmetuletea kwa kiswahili as if kingeteza hatuelewi. Mngekuwa mnajibu hoja na maswali mnayoulizwa ingekuwa vyema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…