DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Mkataba huo hapo, post namba 1. Tuoneshe Lussu wapi aliuongelea na kifungu kipi alikinukuu kuwa ni kibovu?

Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo.
Wewe bibi kizee umesoma kweli? Au unaleta uduanzi wako. Huku ya mahakama kuu imesema wazi mkataba unapingana na sheria namba 5 na 6 za mwaka 2017. Soma ibara ya 20 ya mkataba huo.
 
Wewe bibi kizee umesoma kweli? Au unaleta uduanzi wako. Huku ya mahakama kuu imesema wazi mkataba unapingana na sheria namba 5 na 6 za mwaka 2017. Soma ibara ya 20 ya mkataba huo.
Wewe wacha porojo.

Kesi imetupiliwa mbali na na mahakama ya Mbeya, asiyependa maamuzi ana haki ya kukata rufaa.

Utashindana na mkataba wa Kimataifa?


Soma kifungu 20: 2 usseme kinasemaje, halafu unambie hakimu yupi Tanzania anaweza kukitolea maamuzi hicho.
 
Mara kibao mahakama zinadhurumu haki. Kiti moto unakula?
 

Mkataba huo hapo, tuoneshe hicho kifungu kilichouza bandari.
 

Ukitumia tu neno tanganyika imeuzwa kwa muarabu tunajua shida sio mkataba shida ni rais anayetoka jamii ya znz kuingia mkataba na waarabu hiyo ndio shida yako vyengine ni porojo tu
 
Nguvu kubwa inatumika kutetea hili jambo la DP World.. Na watu wengi wanapinga .. Ni ishara ya kwamba kuna vitu havipo sawa.. ni swala la mda tu

Nguvu kubwa munatumia nyie kupinga alafu munadai nguvu kubwa inatumiwa na serekali mumezunguka mikoa mingapi kupinga
 
Kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo tunazid kuwa na vijana wapumbavu na wajinga sana.

Taifa hivi sasa lina kizazi cha ajabu sana, vijana wapenda sifa na umarufu wa kijinga. Vijana wasomi waliosomeshwa vyuo vikuu kwa kodi za Watanzania baada ya kupata kazi wamekuwa limbukeni, badala ya kufanya kazi wanavimba tu.

Niwe mkweli, naomba serikali ya CCM iendelee kuleta wawekezaji wa nje kwenye kila sekta, maana vijana wa Kitanzania ni aibu tupu, hawawezi endesha mirada ya umma pasi na rushwa.

Karibu DP World, sisi vijana wa Kitanzania sio waminifu hata kidogo. Karibu DP World bandari ipo mikononi mwako, tuna amini utaboresha.
 
Kwahiyo kipi rahisi kati ya serikali kukomesha rushwa na uzembe serikalini au kugawa hizo ofisi za Umma?.
Je, kwanini usishauri serikali yote kumpa mwekezaji ilhali hiyo serikali ndio iliyofeli kusimamia hao vijana?
 
Kwa DPP nako kuna rushwa, wapewe DPW. Katika utafiti uliofanywa hapa TZ, polisi, mahakama na TRA wana rushwa kwa kiwango tofauti, basi huko nako wapewe DPW
 

Weka hapa huo mkataba tuone waliohusika ni kina nani?
 
Weka hapa huo mkataba tuone waliohusika ni kina nani?
Kama mpaka sasa hujausoma mkataba kujua wahusika basi na chat na wrong person. Kiufupi waliohusika wowote wale ni vilaza na hawafai kabisa kuwepo popote walipo.
 
Umechelewa jamvini, karamu imeshaliwa.
 
Kama mpaka sasa hujausoma mkataba kujua wahusika basi na chat na wrong person. Kiufupi waliohusika wowote wale ni vilaza na hawafai kabisa kuwepo popote walipo.
Kumbe hata huelewi unachokiandika.

Hilo ndiyo tatizo kuu la Watanzania. Ujinga.

Lakini sikushangai, utafiti unasema 79% ya Watanzania ni wehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…