DP world na Ongezeko la Ajira 43,907 Bandarini



Mh. Maadam Full 8 ! Nikiwa mtaalamu mbobezi wa mambo ya People & Sustainability ( Human Resources Zamani kama ilivyoitwa ) maono yangu ni kuwa hakutakuwa na ongezeko lolote kwa wale wanaofanya core works bandarini.

Ni hivi:

1. Uwekezaji unapoanza watu wengi watapata ajira za muda kwenye projects mbalimbali.

2. The project itakapoanza rasmi wengi watapoteza ajira zao kwani uwekezaji utakuwa wa high level of Technology.

3. Hivyo ajira zitabaki kwa professional & Skilled labour mosty zitachukuliwa na experts.

4. Kutakuwa na ongezeko la alternative employment kwa kampuni zitakazopata tender ya kusupply kazi na vitu mbalimbali vidogo vidogo.

Hivyo basi kusema kutakuwa na ongezeko la ajira directly ni mawazo tuu wala hakuna uhalisia.

Tujikumbushe Je baada ya mashirika mengi kubinafshishwa kulikuwa na ongezeko la ajira au watu wengi tuu kupunguzwa kazi?

Ukipata jibu la kilichotokea huko kipindi kilichopita utapata nini kitakachotokea baada ya mwekezaji wetu Pendwa DP World kuanza kazi rasmi.


Faida zake zitakuwa:

1. Ongezeko la kipato kwa Serikali.
2. Ongezeko la Ufanisi bandarini.
 
Mnaopiga kelele za ajira kwa hao DP world, migodini saivi kuna scoop zinafanya kazi kwa automation, na wanampango mpaka dumper truck ziwe kwa mfumo wa automation,

Maendeleo ya tech lazima yapunguze idadi ya wafanyakazi watumia nguvu
 
Ujenzi wa barabara Bora kutoka Dar Hadi tunduma uanze tu mapema
Hapo ni namba 4 tu
 
Ukomo wa mkataba ni miaka mingapi hicho ndio watu wanataka kufahamu period
 
Umefafanua vizuri sana mkuu, shukrani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…