DP World sasa tafrani ndani ya chama

morees

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
288
Reaction score
619
Mtunzi wa vibonzo DW na mawazo yake .

Mbunge wa Mbeya na spika wa bunge la jamuhuri ya Tanzania leo akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa majengo ya shule amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kutomvuta shati kiongozi mkuu wa chama hicho ambaye ni Raisi wa Tanzania katika swala zima la kuleta maendeleo nchini.

Kumekuwepo na mijadala mbalimbali juu ya mikataba iliyofanywa na serikali ya Tanzania na Dubai chini ya kampuni ya DP World kuhusu ukomo wa muda wa kumpuni hiyo kufanya shuguli zake katika bandari kuu ya Dare Salam..

Tafakari kibonzo weka maoni yako..
 
Viyoyozi vya ma vieitee vinawaondolea ufahamu.
 
Mbeya wakimrudisha Bungeni
itabidi wachapwe viboko
NA HUU UWE MWISHO KWAKE
mume anatunyoosha EWURA
nae Bungeni anatumia ubabe
sasa itoshe kusema BASIIIIIII
na huyo boss wa chama BASIIIIII
Muungano usio na faida BASIIIIIIIII
 
Hii inafaa aione mkuu 'Erythrocyte' aiweke kwenye makabrasha ya kumbukumbu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…