DP World walifukuzwa Yemeni (Aden Port)

DP World walifukuzwa Yemeni (Aden Port)

Km kwa waarabu wenzao walitimuliwa kwa maana hawa ni wahuni na waharibifu hawafai
 
Tuseme wewe ndo mwekezaji na umewekeza Yemen!! Niambie na machafuko pamoja na vita vile utaongezaje ufanisi wa Bandari?

Tuambie pia kwa Bandari anazoziendesha Uingereza. Canada na Dubai anaziendeshaje?
Kwani kule Congo (DRC) pamoja na machafuko na vita, mashirika ya kutoka nje yamewezaje kuendesha ufanisi wa biashara ya uchimbaji madini na kupata faida ? Tena kuna usafiri mkubwa ni ndege za mizigo, ambao ni hatari mno wakati wa vita. Hebu tusaidiane bwana ustadh...
 
Kwanza mimi sio ustaadhi? Nani kakwambia Congo your ina vita?
 
Raisi Samia na Tshisekedi walivyokuwa wanafanya kikao na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya SADC. Lakini pia Raisi Samia na maraisi wa EAC walifanya kikao kule Bujumbura na akapendekeza itafutwe suluhu baina ya Rwanda, DRC na Makundi ya waasi. Au hukumsikia Raisi wako ?
 
Mkataba upi ni wa milele?
Mkataba unasema hata wasipofikia malengo hakuna mtu au chombo chochote kitakachovunja mkataba, mkataba gani wa kijinga namna hii, mimi nasema aliyeingia na anayesapoti wote wajinga.
 
Maneno hayavunji mfupa. Kama mtaishia kuongea tu hakuna litakalobadilika.
 
Mkataba unasema hata wasipofikia malengo hakuna mtu au chombo chochote kitakachovunja mkataba, mkataba gani wa kijinga namna hii, mimi nasema aliyeingia na anayesapoti wote wajinga.
Maneno hayavunji mfupa. Kama mtaishia kuongea tu hakuna litakalobadilika.
 
Tuseme wewe ndo mwekezaji na umewekeza Yemen!! Niambie na machafuko pamoja na vita vile utaongezaje ufanisi wa Bandari?

Tuambie pia kwa Bandari anazoziendesha Uingereza. Canada na Dubai anaziendeshaje?
Machafuko yemen yameanza lini na hao dp world wamefukuzwa lini
 
Kasome Article 2 ya ule mkataba; Objectives of the Agreement.

Ile imeonesha vizuri kabisa kila kitu, jinsi makubaliano yale yalivyokuwa legally binding, ndio maana nakwambia mwarabu ameshaanza kazi tangu October 2022, maeneo yote ambayo waarabu watafanya shughuli zao Tanganyika, ambapo pameeleza wazi ni bandari zote za bahari na maziwa Tanganyika.

Nikushauri tu, kwa hili la mkataba wa bandari na waarabu, chutama, usiendelee kujivua nguo humu.
Mkuu achana na huyo Kanjanja,anafikiri sheria kasoma yeye peke yake
na ndiyo kaelewa sana mkataba kuliko Watanzania wote!
 
Tuseme wewe ndo mwekezaji na umewekeza Yemen!! Niambie na machafuko pamoja na vita vile utaongezaje ufanisi wa Bandari?

Tuambie pia kwa Bandari anazoziendesha Uingereza. Canada na Dubai anaziendeshaje?
Tumia akili japo kidogo, kwamba kabla ya uwekezaji Container 500,000 zilipakuliwa; walipokuja hao Mungu wenu upakuaji ukaanguka mpaka containers 140,000.

Tuletee hizo terms za mikataba ya Canada, Uingereza na Dubai. Mkataba tulionao ni huu wa Kampuni ya DPW na Nchi yetu
 
Back
Top Bottom