What is the physical meaning of this thread?Alhamisi na Ijumaa ya leo DPP alikua na kikao na ma RPO wa Tanzania nzima Ila sijui Kama ma RPO wa Zenji walikuja ili miongoni mwa sisi wageni wa DPP alikuwepo Wakili kutoka Zanzibar nae alikua na shida ya kumuona DPP, tunamshukuru Mungu kipindi Cha lunch, DPP alikuja na kutusikiliza pia!! Naamini office ya DPP itatenda haki kwa kila Jambo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Siku ukiwa na shida ya kumuona DPP na kumueleza matatizo yako ya kudhulumiwa haki yako ya Msingi nakuapia haya Maneno yako utayameza mazima!!What is the physical meaning of this thread?
Hakikua kikao Cha Siri,bali kilikua kikao Cha Mpango kazi ya jinsi ya kuijimarisha katika utendaji wa haki zaidi!!Ahsante kwa vikao vya siri...
Regional Program Officer 😎Kirefu cha RPO ni kipi?
I think ni alimaanisha wakuu wa magereza mkoa wanaitwa Regional prison officer (RPO)Kirefu cha RPO ni kipi?
Atajua anajua 😝 muache kakaSiku ukiwa na shida ya kumuona DPP na kumueleza matatizo yako ya kudhulumiwa haki yako ya Msingi nakuapia haya Maneno yako utayameza mazima!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Regional Prosecutor Officer/ Mwendesha Mashitaka wa Mkoa!!Kirefu cha RPO ni kipi?
Wwe mwache, hii Dunia hujafa hujaumbika Kaka, unaweza hata angukiwa na Jumba bovu bila kujua!!Atajua anajua [emoji13] muache kaka
DPP ni naniAlhamisi na Ijumaa ya leo DPP alikua na kikao na ma RPO wa Tanzania nzima Ila sijui Kama ma RPO wa Zenji walikuja ili miongoni mwa sisi wageni wa DPP alikuwepo Wakili kutoka Zanzibar nae alikua na shida ya kumuona DPP, tunamshukuru Mungu kipindi Cha lunch, DPP alikuja na kutusikiliza pia!! Naamini office ya DPP itatenda haki kwa kila Jambo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Lunch with the DPP.What is the physical meaning of this thread?
DPP si ndiyo alimsamehe Mbowe kule Mahakaman!!DPP ni nani
RPO ni nani.