jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Alhamisi na Ijumaa ya leo DPP alikua na kikao na ma RPO wa Tanzania nzima Ila sijui Kama ma RPO wa Zenji walikuja ili miongoni mwa sisi wageni wa DPP alikuwepo Wakili kutoka Zanzibar nae alikua na shida ya kumuona DPP, tunamshukuru Mungu kipindi Cha lunch, DPP alikuja na kutusikiliza pia!! Naamini office ya DPP itatenda haki kwa kila Jambo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app