Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Utawala wa Sheria wa namna gani huu? Hii ni Police State tu. Yaani Biswalo Mganga yuko kama nusu mungu!! Anawapeleka Mahakamani wale ambao ametumwa na Jiwe.Kamanda kuwa mvumilivu hiyo ndio demokrasia na huo ndio utawala wa sheria mnao ulilia kila leo....