Utawala wa Sheria wa namna gani huu? Hii ni Police State tu. Yaani Biswalo Mganga yuko kama nusu mungu!! Anawapeleka Mahakamani wale ambao ametumwa na Jiwe.
DPP atetea kibarua chake. Alifikiri wote wangeshindwa kulipa faini hivyo, kufia jela. Sasa anajiuliza ni vipi atakitetea kibarua chake ikiwa wote wametoka kirahisi namna hii?
Ndio maana anatapatapa. Ataweweseka sana mwaka huu!!!!