johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu.
DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi hilo katika magereza mbalimbali nchini.
Mkuu wa gereza la Babati amemwambia mwandishi wa ITV kwamba zoezi linalofanywa na DPP limeisaidia gereza lake kupunguza msongamano wa mahabusu.
Miongoni mwa watu maarufu waliofutiwa mashtaka na DPP hivi karibuni ni pamoja na Katibu mkuu wa Bavicha mh Nusrat Henje.
Maendeleo hayana vyama!