johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Weka vielelezo kuwa Dpp alimuachia usiku usiku.Aibu ya nini?
Kwani alitolewa peke yake?
Hii mbona ilianzaga kitambo, tangu July 2019 baada ya Magu kutembelea gereza la Butimba Mwanza, na kukuta watu wengi wakisubiri kusomewa mashtaka au uchunguzi ukamilike, lakini wakiwa wamewekwa ndani zaidi ya Mwaka. Magu aliiagiza ofisi ya DPP ianze mara moja kupita magerezani mara kwa mara, kufuatilia watu waliowekwa ndani kimakosa. Na watu wengi tu huwa wanafutiwa kesi kwa njia hii ya DPP kupita huko na kuamua hawana kesi ya kujibu.Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu.
DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi hilo katika magereza mbalimbali nchini.
Mkuu wa gereza la Babati amemwambia mwandishi wa ITV kwamba zoezi linalofanywa na DPP limeisaidia gereza lake kupunguza msongamano wa mahabusu.
Miongoni mwa watu maarufu waliofutiwa mashtaka na DPP hivi karibuni ni pamoja na Katibu mkuu wa Bavicha mh Nusrat Henje.
Maendeleo hayana vyama!
Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu.
DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi hilo katika magereza mbalimbali nchini.
Mkuu wa gereza la Babati amemwambia mwandishi wa ITV kwamba zoezi linalofanywa na DPP limeisaidia gereza lake kupunguza msongamano wa mahabusu.
Miongoni mwa watu maarufu waliofutiwa mashtaka na DPP hivi karibuni ni pamoja na Katibu mkuu wa Bavicha mh Nusrat Henje.
Maendeleo hayana vyama!
Waulize washirika wa Idd Amin kilichowapata, muda wote walikuwa wanajiona wajanja, kumbe waganda wana lao rohoni! Ndiyo haya ya utawala huu... DPP anadhani watu wajinga!
Bwashee ya usiku yametoka wapi tena?Weka vielelezo kuwa Dpp alimuachia usiku usiku.
Bwashee ya usiku yametoka wapi tena?
Issue ya Nusrat ni aibu sana
Aibu ya nini?
Kwani alitolewa peke yake?
Tena huyo huyo DPP alikataa kina Nusrat wasidhaminiwe.Yaani DPP anayetoa amri kina Nusrat Hanje wakamatwe na kuswekwa rumande, halafu DPP huyo huyo anapita tena huko gerezani kusikiliza malalamiko ya kina Nusrat ili kuwaachia.
Huyo atakuwa DPP anayeshikishwa ukuta.
Naomba tuhemshiane boss, nipo Chuma cha Nkola Igunga, habari za kuniita bwashee sitaki.Chadema wanasema alitolewa usiku, kweli si kweli?Bwashee ya usiku yametoka wapi tena?
Hahahhaahhaaahahahhaaha.Mkuu punguza jazbaYaani DPP anayetoa amri kina Nusrat Hanje wakamatwe na kuswekwa rumande, halafu DPP huyo huyo anapita tena huko gerezani kusikiliza malalamiko ya kina Nusrat ili kuwaachia.
Huyo atakuwa DPP anayeshikishwa ukuta.
Si kweli mkuu, DPP hafanyi kazi usiku kama nesi!Naomba tuhemshiane boss, nipo Chuma cha Nkola Igunga, habari za kuniita bwashee sitaki.Chadema wanasema alitolewa usiku, kweli si kweli?
angetolewa bila ahadi usingesikia malalamiko hivyo rushwa ya ubunge ndio chanzoChadema wamefikia hatua Kamanda wao anatolewa gerezani na kuachiwa kwakuwa hana kesi yakujibu wanalalamika?????
yaani ni mwendo wa kujipaka kinyesi utadhani mwanasheria mkuu wa kutoa ushauri hayupoWatu wanajaribu kufuta tope ila safari hii wamemchemsha walijipaka kinyesi...
Mwambie amgutie tito na theo kesi yake aliyowabambika,ccm akili zenu huwa mmezikaliaMkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu.