T Tigershark JF-Expert Member Joined Oct 9, 2018 Posts 7,051 Reaction score 12,566 Nov 28, 2020 #21 Zanzibar-ASP said: Yaani DPP anayetoa amri kina Nusrat Hanje wakamatwe na kuswekwa rumande, halafu DPP huyo huyo anapita tena huko gerezani kusikiliza malalamiko ya kina Nusrat ili kuwaachia. Huyo atakuwa DPP anayeshikishwa ukuta. Click to expand... Kabisa,halafu ni huyu huyu alikomaa Nusrat anyimwe dhamana!Anakalia mpini huyo Dpp
Zanzibar-ASP said: Yaani DPP anayetoa amri kina Nusrat Hanje wakamatwe na kuswekwa rumande, halafu DPP huyo huyo anapita tena huko gerezani kusikiliza malalamiko ya kina Nusrat ili kuwaachia. Huyo atakuwa DPP anayeshikishwa ukuta. Click to expand... Kabisa,halafu ni huyu huyu alikomaa Nusrat anyimwe dhamana!Anakalia mpini huyo Dpp
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Nov 28, 2020 #22 mmmh aisee
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 6,346 Reaction score 14,546 Nov 28, 2020 #23 bababikko said: yaani ni mwendo wa kujipaka kinyesi utadhani mwanasheria mkuu wa kutoa ushauri hayupo Click to expand... Bwana yule na wenzake wajuaji sanaa
bababikko said: yaani ni mwendo wa kujipaka kinyesi utadhani mwanasheria mkuu wa kutoa ushauri hayupo Click to expand... Bwana yule na wenzake wajuaji sanaa