DPP Biswalo Mganga unalazimika kuwajibika kujiuzulu baada ya kumtoa "mahabusu" Nusrat Hanje gerezani akawe ghafla Mbunge

Kama mlivyomuamini mdee halafu akavunja uaminifu ndivyo mnyika anavyojaribu kukwepa msala lakini yeye na mbowe wanajua mpango wote Halima sio kichaa tu wa kumshukuru Mbowe!
Hata Mimi natafakari hivyohivyo. HALIMA, HALIMA, HALIMA kweli aamue tu kusaliti chama chake!! Wengine sawa lakini sio Huyo. Hapa tunazugwa tu na haya maigizo. Ninachoona huenda CHADEMA waliona wakiruhusu kwa njia ya kawaida wangepata ukosoaji mkubwa na kulaumiwa na wafuasi wao na wafadhili wao wa nje/Mabeberu. Ndio maana wakatengeneza hii movie.

Na kwakuwa pande zote zina interest, yaani CHADEMA kupata ruzuku, wabunge kupata fedha na hata baadae kukichangia chama. Kwa upande wa Bunge maslahi ni kuonyesha uwepo wa wabunge wa upinzani na hilo linalozungumzwa kwamba wasipokuwepo kutakosekana Trion 1...kutoka kwa wahisana.

Hivyo kwakuwa pande zote zina maslahi basi ni rahisi kusuka deal. Na huenda shariti mojawapo likawa nikumtoa Nusrath na kumpa Ubunge.

Sasa ni namna gani yakufanikisha hili wakati CHADEMA tayari ilishajinasibu kindakindaki kuhusu uchaguzi uliopita, wanachama wake watawaelewa? Je wananchi watawaangaliaje, na vip mapokeo ya wafadhili wao wa nje .

Miaka mijtano ni mingi sana, nadhani soon tutajua ukweli.

kuna uwezekano mbele ya safari ukasikia watu wameomba msamaha na kurudishiwa uanachama wao.

Chama pia kina Maslahi kama chama na kwa mbunge binafsi.
 
Hili jambo ni zito sana. Kukosekana kwa uwajibikaji wa serikali kwa wananchi ndio inatufukisha hapa leo.

Yaani DPP anapoka mamlaka ya mahakama; Chief Justice yuko wapi kukemea? Mbona CJ Maraga wa Kenya ni mkali mahakama inapochezewa?

Hili jambo lina wiki sasa, hakuna mtu anatuambia nini kilitokea kwa huyu binti. Tume ya uchaguzi inatakiwa kutoa majibu mahsusi kuhusiana na huyu binti, alikuwa jela kabla hata ya uchaguzi, amewezaje kutimiza masharti yote ya kuwa mbunge? Na DPP aje asema, ilikuwaje huyu binti akatoka bila mahakama kujua, na kama ilijua pia asema.
 
Chadema sijui wakoje tu so mlitaka binti wa watu aendelee kuteseka gerezani? Haya alivyokuwa Gerezani mkaaza kutomboka ametolewa bado mnatomboka sijui tuwaelewe vipi nyinyi watu
 
Hakuna sheria yoyote imevunjwa
Yule sio mfungwa ni mahabusu tu

Mbona bavicha walikuwa wanampelekea cheq na documents za kusaini akiwa jela je wao walikuwa wanatumia sheria gani?

Mtu akiwa jela anaweza kufanya kazi za office? Mbona hamkulalamika?
Wewe uliwahi kuona wapi, mahabusu anatolewa gerezani saa 1.30 jioni na huyo mahabusu asipitishwe kwa Hakimu, kwenye mahakama iliyompeleka hapo gerezani?
 
Wewe uliwahi kuona wapi, mahabusu anatolewa gerezani saa 1.30 jioni na huyo mahabusu asipitishwe kwa Hakimu, kwenye mahakama iliyompeleka hapo gerezani?
Alimuona saa moja na nusu wakati anatoka?
 
Chadema sijui wakoje tu so mlitaka binti wa watu aendelee kuteseka gerezani? Haya alivyokuwa Gerezani mkaaza kutomboka ametolewa bado mnatomboka sijui tuwaelewe vipi nyinyi watu
Hivi juhudi kubwa iliyofanywa na chama cha Chadema kutaka kumtoa kutoka gerezani wewe hujaiona?
 
Huyo Rais mwenyewe ndiyo anaongoza kwa kuvuja sheria na katiba
 
Huyo Rais mwenyewe ndiyo anaongoza kwa kuvuja sheria na katiba
Tunataka atawale kwa mujibu wa Katiba ya nchi aliyoapa kuitii na kuiheshimu kabla ya kumkabidhi madaraka, kama hawezi aende zake akalime.
By Mwalimu Nyerere in the year 1995
 
Hanje hakuwa gerezani alikuwa rumande
Ukiwa rumande mambo yote yanaendelea waweza letewa hata check ukasaini malipo
Rumande ipo Sea cliff hotel?

Watu wengine ni bora hata maiti inajitambuwa, baba yako angekymbuka kutumia condom angeliokowa Taifa kuwa na mazezeta kama wewe.
 
Umeongea hoja ya msingi sana..

Ni kwanini mhimili wa mahakama unakubali kuchezewa na mhimili wa serikali watakavyo?

Inabidi mhimili wa mahakama "ugangamale" na upiiganie ile kitu inayoitwa Power separation katika mihimili 3 mikuu, ambayo ni Executive, Judiciary and Legislature
 
Ni kwanini mhimili wa mahakama unakubali kuchezewa na mhimili wa serikali watakavyo?
Tatizo la kuwa na Chief Justice aliyeanza kazi kama "Acting" Chief Justice. Bado sielewi kwanini hakuteuliwa moja kwa moja? Head wa Executive alikuwa anampa "Acting" ili aangilie nini? Alifanya nini mpaka akaonekana anafaa kuwa confirmed?
 
Ndio maana kuna msamaha na rufaa ndani ya siku 30 team Halima wana score golden goal!
 
Na haya yatapita tu ni upepo kama upepo mwingine tu jamani kama Richmond, downs, meremeta,escrow account zilizipita hichi ni nini hata kisipite muraa
 
Unajua muda WA kazi wa kiselikali? Kuanzia saa 2 asubui mpaka saa kumi jioni, baada ya hapo kuna kazi zinaendelea lkn za dhalula ambazo hazina mwisho wala masaa, sasa kitendo cha kumtoa mtuhumiwa ucku hata kama dhamana yake imepatikana NI kosa kisheria kwa maaana kuda wa kazi ulikuwa umekwisha,

Hapo kuna uvunjivu wa sheria umefanyika hata kama alikuwa ba uhalali wa kutoka.

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Utawala wa awamu hii ya tano hautaki kufuata katiba wala sheria na ndivyo tawala zote za kidicteta zinavyofanya
 
Baba yako na mama yako ndio vibaka, mwanaharamu wewe!
 
Yaani aache shibe, nani umewahi ona amewahi jiuzuru akaacha shibe afrika
 
Wako juu ya sheria hao usitegemee hilo mkuu Katiba kwao ni takataka haiheshimiwi wala hatuna cha kuwafanya kwa sasa labda mpaka tutapojitambua na kuchukua hatua dhidi ya hawa wavunja Katiba mchana kweupe.
Ndo kitu ninachoshangaa...hivi kwa Mtanzania unayejielewa unaweza kujadili ishu ya uvunjifu wa Katiba kweli? Kipindi hiki?like seriosly? The CURT 1977 is no longer exist...its better tukajadili ways forward siyo eti kushangaa kwanini kisichotumika tena nchini hakikutumika some where.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…