Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
- Thread starter
- #21
Moja ya jukumu la Rais wa nchi ni kuhakikisha kuwa kila aliyemteua anafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria ma taratibu zilizowekwa nchini.Sasa Magu ndiye kamtuma atamwondoaje?
Kwa hiki kitendo cha DPP, Biswalo Mganga, kufanya makosa ya wazi kabisa, Rais analazimika kumtimua kazi ili aiokoe serikali yake kutokana na aibu kubwa inayopata hapa nchini na kwenye Jumuiya ya kimataifa.