DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

Mbona Rais alimtoa kwa sababu ya hiyo kashfa naona DPP anatumia nguvu nyingi kwenye hii kesi wacha niendelee kuita watu wa Pop corn tu hapa ipo siku atakuja na taarifa ya mwanzo..
 
DPP kashakula ela,ndio maana kafuta kesi. unafutaje kesi wakat mtu kanajisiwa kwa chupa? nn maana haki mahakani? angekuwa kijana wake DPP anajisiwe kwa chupa angefuta kesi?
Usijali,hata kama DPP kafuta kesi,huwezi jua labda anairekebisha hiyo kesi ikae vizuri, alafu atairudisha tena Mahakamani ikiwa chini yake na si chini ya Wakili Madeleka kama ilivyokua mwanzo!! Tumpe muda DPP afanye kazi yake!!
 
Ndio najua kama Tanzania kuna sheria ya mtuhumiwa kutokamatwa au kupelekwa mahakamani wakati polisi wakiendelea na uchunguzi,maana kuna wengi wapo majela miaka na miaka bila kuhukumiwa huku polisi wakiendelea na uchunguzi!
Tanzania ni nchi inayoendesha mambo yake,ijuavyo yenyewe

Ova
 
Kwa mujibu WA Sheria mnamfaham alieivuruga kesi?Sheria NI teknik tu.watu wenye pesa wanajua kucheza na sheria.wasiojua hawatamuelewa DPP.
Sawa,mwisho wa siku hao madogo washasokomezwa chupa mknddddd
Si ajabu wakawa mahanis

Ova
 
Mbona Rais alimtoa kwa sababu ya hiyo kashfa naona DPP anatumia nguvu nyingi kwenye hii kesi wacha niendelee kuita watu wa Pop corn tu hapa ipo siku atakuja na taarifa ya mwanzo..
Nchi hii inapenda sana kuwalea
Watu wa ovyo
Nasema hivi mpaka kufika 2030 huko kizaz kitakuwa kimechakaa sana

Ova
 
Nakumbuka yapo mazingira Private person anaweza kufungua Criminal case
 
Mpunga ushafanya KAZI yake,sheria ni kwa ajili ya watu masikini
Madogo washazibuliwa mtaro
Si ajabu wakawa mshg tu,
Ila hii kesi pesa imetembea
Tz ukiwa na pesa unaweza fanya lolote kuanzia kuua,kuwalawiti watu nk na system ikawwa inakuchekea tu

Ova
 
Ngoja na nyie/ndg yako asokomezwe chupa mknddddd

Ova
 
NA HUYU MSOKOMEZA WENZAKE VYUPA MKNDDDD ATARUDI MJENGONI,NA ATAPUGIWA MAKOFI NA VIGELEGELE JUU

ova
 
Madogo washazibuliwa mtaro
Si ajabu wakawa mshg tu,
Ila hii kesi pesa imetembea
Tz ukiwa na pesa unaweza fanya lolote kuanzia kuua,kuwalawiti watu nk na system ikawwa inakuchekea tu

Ova
Sababu kesi no biashara
 
Sheria Moja ila dabo standard ukiiba Dola 50 utafukuzwa KAZI kama mbwa ukiiba dolla milioni Moja utahamishiwa idara nyingine
 
Usishangae kusikia dogo akageuziwa kibao akashtakiwa kwa kumchafua Muheshimiwa sana!!! 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…