Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mbona Rais alimtoa kwa sababu ya hiyo kashfa naona DPP anatumia nguvu nyingi kwenye hii kesi wacha niendelee kuita watu wa Pop corn tu hapa ipo siku atakuja na taarifa ya mwanzo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali,hata kama DPP kafuta kesi,huwezi jua labda anairekebisha hiyo kesi ikae vizuri, alafu atairudisha tena Mahakamani ikiwa chini yake na si chini ya Wakili Madeleka kama ilivyokua mwanzo!! Tumpe muda DPP afanye kazi yake!!DPP kashakula ela,ndio maana kafuta kesi. unafutaje kesi wakat mtu kanajisiwa kwa chupa? nn maana haki mahakani? angekuwa kijana wake DPP anajisiwe kwa chupa angefuta kesi?
Kwa hiyo waliyosokomezwa chupa mkndddd wamekubali wayamalizeKwa akili yako unaweza kusingizia umesokomezewa chupa mkndn?
Tanzania ni nchi inayoendesha mambo yake,ijuavyo yenyeweNdio najua kama Tanzania kuna sheria ya mtuhumiwa kutokamatwa au kupelekwa mahakamani wakati polisi wakiendelea na uchunguzi,maana kuna wengi wapo majela miaka na miaka bila kuhukumiwa huku polisi wakiendelea na uchunguzi!
Sawa,mwisho wa siku hao madogo washasokomezwa chupa mkndddddKwa mujibu WA Sheria mnamfaham alieivuruga kesi?Sheria NI teknik tu.watu wenye pesa wanajua kucheza na sheria.wasiojua hawatamuelewa DPP.
Nchi hii inapenda sana kuwaleaMbona Rais alimtoa kwa sababu ya hiyo kashfa naona DPP anatumia nguvu nyingi kwenye hii kesi wacha niendelee kuita watu wa Pop corn tu hapa ipo siku atakuja na taarifa ya mwanzo..
Madogo washazibuliwa mtaroMpunga ushafanya KAZI yake,sheria ni kwa ajili ya watu masikini
Mfumo wa haki ya nchi hauko sawa kabisa,Ikiwa mfumo wa haki ukioza mwenye haki atafanya nini
Sheria ya dabo standardMfumo wa haki ya nchi hauko sawa kabisa,
Ova
Sababu kesi no biasharaMadogo washazibuliwa mtaro
Si ajabu wakawa mshg tu,
Ila hii kesi pesa imetembea
Tz ukiwa na pesa unaweza fanya lolote kuanzia kuua,kuwalawiti watu nk na system ikawwa inakuchekea tu
Ova
Usishangae kusikia dogo akageuziwa kibao akashtakiwa kwa kumchafua Muheshimiwa sana!!! 🤣 🤣Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Sylvester Mwakitalu amesema hakukuwa na nia kwa Wakili kufungua kesi ya jinai labda kuna sababu nyingine ambayo haijafahamika na alichokifanya kuingilia kesi hii ni kutimiza majukumu yake kisheria kwa sababu leo ni kwa huyu (Mhe. Pauline Gekul) lakini kesho inaweza kuwa kwa mtu mwingine yoyote.
Amesema aliyefungua keshi ya Gekul alipeleka chini ya Kifungu cha 128 (2) (4) na ile sio Private Prosecution. Na sheria imetoa mwanya pale mambo mtu aridhiki kwa namna DPP anaendesha mashtaka anaweza kuomba kuendesha mashtaka yeye.
Anasema kilichotokea kwa Pauline Gekul ni kwamba Polisi walikuwa wanaendelea na Uchaguzi, mara DPP anaona kesi imesajiliwa Mahakama. Ambapo alifutilia kuangalia kama utaratibu wa kifungu cha namba 128 umefuatwa maana yeye kama DPP hakuwa anajua.
Anasema Polisi walikuwa hawajafika mwisho na uchunguzi na walikuwa wanachunguza vitu viwili kwa sababu Gekul alienda Polisi kushtaki na aliyeshtakiwa na Gekul naye alienda kushtaki Polisi. Na hivyo aliamua kuondoa kesi hiyo mahakamani kwa mujibu wa sheria
Amesema majarada ya Pauline Gekul yamefika ofisini kwakwe na wanafanyia kazi na pengine wikii hii ama watashtaki au hawatashtaki na kuna jarada ambalo Gekul analalamika na ambalo analalamikiwa.
View attachment 2862327
Yupo sahihi.. madeleka anataka kuharibu kesi ya HashimHata sielewi huyu mtu ana maana gani. Yaani hizi ndo teuzi ,inazofanywa kizembe hadi nchi inaangukia mikononi mwa wsomi uchwara.