The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Lazaro simtindi,
Nadhani hujamwelewa Kana-ka-Nsungu. Kwa maoni yangu, anaposena mwaka huu watauana sana anamaanisha watapelekana sana kutibiwa katika hospitali za ughaibuni kisha watutangazie fulani kafariki alihali u hai!. Rejea kifo cha Balali na utata wake. Hapo upo mkuu??
Achana naye, huyo jamaa ana lake jambo. Kana ka Nzungu hajesema lolote baya la kumkasilisha mtu. And I do not think that our level of understanding issues here (at JF) is that different.
Achana naye, huyo jamaa ana lake jambo. Kana ka Nzungu hajesema lolote baya la kumkasilisha mtu. And I do not think that our level of understanding issues here (at JF) is that different.
Ama kweli wewe ni "Zero", hata kujenga hoja hujui, kazi kudismiss wenzio kwa maneno ya kijiweni: "achana naye", "huyo jamaa ana lake jambo"! Kwa mtaji huo hatufiki, afadhali ya akina Makamba 100! Nimemwelewa Kungurumweupe. Hata kama sikubaliani naye, kajenga hoja! LazarosAchana naye, huyo jamaa ana lake jambo. Kana ka Nzungu hajesema lolote baya la kumkasilisha mtu. And I do not think that our level of understanding issues here (at JF) is that different.