DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

DPP Hawezi kunyima watu dhamana. Mamlaka hiyo iko kwenye mahakama na sheria zilizopitishwa bungeni.
 
Na mambo mengine mengi ni kwa ajili ya visasi, visa, chuki na maslahi ya wanasiasa watawala.
 
Russia ni madikteta ila kwa Marekani ni uongo mtupu unaosema. Huenda umedanganywa na movies au unachanganya na plea bargain ambayo Marekani ipo rasmi kisheria.
Kwa nchi kama Russia na Marekani ukikataa kuwa informer kwa FBI kwa njia ya kujitolea au kulipwa pesa itabidi watumie vitisho kama kupewa kesi za uongo ili ushirikiane na dola.
 
Hamna kitu hapa cha haki/kutenda haki hapa, wote ni ma Idd Amin, nunda wala watu. Vichwa vya watu kwenye friji kama Idd Amin
 
Mkuu unataka mama some uzi wako kisha atengue?
 
Makini sana
 
Kwahiyo ulitaka DPP atoke nchini Kenya? Kuna uwezekano gani wa kumchagua DPP ambaye hakuwa kwenye mifumo ya kisheria ya Tanzania
 
Russia ni madikteta ila kwa Marekani ni uongo mtupu unaosema. Huenda umedanganywa na movies au unachanganya na plea bargain ambayo Marekani ipo rasmi kisheria.
CIA na FBI ni mafia wa kutisha ndio maana wanaitawala dunia.
 
Na mambo mengine mengi ni kwa ajili ya visasi, visa, chuki na maslahi ya wanasiasa watawala.
Inaweza ikawa ni kwa asilimia ndogo sana kwa maana hata daktari huiba dawa kazini kwake (matumizi mabaya ya mamlaka)
 
Na sisi TISS waelekeze ubabe wao kwa nchi nyingine waitawale dunia sio kwa raia wa halali ndani ya nchi.
Kuna raia wa Tanzania (ndani na nje ya nchi) wanashirikiana na maadui wa taifa.
 
Daktari akiiba dawa kazini kwake utaenda kununua kwenye duka la binafsi. Mtu anayekwa magereza kwa miaka halafu anakuja kuachiliwa baada ya DPP kujisikia kutokuendelea na kesi yake anafidiwaje??
Inaweza ikawa ni kwa asilimia ndogo sana kwa maana hata daktari huiba dawa kazini kwake (matumizi mabaya ya mamlaka)
 
Wapewe utaratibu wa kuwashughulikia kupitia sheria ya bunge. Huwa tunasikia na Tunaona FBI wakiwapeleka wahalifu mahakamani, mbona hatuoni TISS wakiwapeleka wahalifu mahakamani??
Kuna raia wa Tanzania (ndani na nje ya nchi) wanashirikiana na maadui wa taifa.
 
Duuuuh Makaro sjui Kamfanyia Nn Huyo Mama Mvaa Ijabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…