Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
FBI tawi/sehemu ya Polisi lakini TISS sio PolisiWapewe utaratibu wa kuwashughulikia kupitia sheria ya bunge. Huwa tunasikia na Tunaona FBI wakiwapeleka wahalifu mahakamani, mbona hatuoni TISS wakiwapeleka wahalifu mahakamani??
Wewe mwenyewe unasemaje?Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.
Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?
Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma
Chadema wanaingiaje hapa tena kama sio nyege mshindo ni nini?Dpp mpya kaendelee kuwanyoosha mafisadi(chadema) wameumiza sana hii nchi
FBI tawi/sehemu ya Polisi lakini TISS sio Polisi
MTU peace sana huyu jamaaSura ya DPP mpya ni ya "kibandidu" kwelikweli sidhani Kama kuna jipya kutoka kwake ingawa watu wanasema Sura sio roho Ila huyu jamaa tutegemee maumivu tu
Chadema wanaingiaje hapa tena kama sio nyege mshindo ni nini?
Wewe mwenyewe unasemaje?
Ndg Beatrice ni Kamanda blueblooded. Alitaka DPP asaidiabe na Kibatala kuwapatia dhamana mahabusi. Ni pamoja na Ng'wanaBulaya (Msukuma) aluyeenda msibani Singida kwa ndugu zake (ni Wanyiramba), akazeleu kesi yake Kisitu (Dar-es-Salaam), badala yake akamtuma Mdhamini wake (Mshashi, wa Ikuzu) aende kuripoti kwa Hakimu Kisutu bahati mbaya akachelewa kesi akiwa chooni. Nji hii ina amani saaana sasa; asante kwa watu kama Biswalo na ole Sabaya, ujambazi ulikuwa umeanza kutamalaki. Kigoma vipi, nasikia mgombea wa CUF (kabila lake Nji jirani) katekwa lakini kawaponyoka watesi wake kininjaninja, kapiga picha magari yao kazituma Belgium? Nawasalimu wa jina la JMT.Mkuu unataka mama some uzi wako kisha atengue?
Jifunze kuandikaNdg Beatrice ni Kamanda blueblooded. Alitaka DPP asaidiabe na Kibatala kuwapatia dhamana mahabusi. Ni pamoja na Ng'wanaBulaya (Msukuma) aluyeenda msibani Singida kwa ndugu zake (ni Wanyiramba), akazeleu kesi yake Kisitu (Dar-es-Salaam), badala yake akamtuma Mdhamini wake (Mshashi, wa Ikuzu) aende kuripoti kwa Hakimu Kisutu bahati mbaya akachelewa kesi akiwa chooni. Nji hii ina amani saaana sasa; asante kwa watu kama Biswalo na ole Sabaya, ujambazi ulikuwa umeanza kutamalaki. Kigoma vipi, nasikia mgombea wa CUF (kabila lake Nji jirani) katekwa lakini kawaponyoka watesi wake kininjaninja, kapiga picha magari yao kazituma Belgium? Nawasalimu wa jina la JMT.
Heri umemwambiaJifunze kuandika
Angepotezwa na nani?Yule sijui Buswalo angepotezwa kabisa! Ameonea sana watu......