DPP Mwakitalu ondoa uchafu huu ofisini kwako; Ukipuuza usitulaumu

Mwendazake alikuwa kinara wa Ukabila, na naamini alitoa maelekezo ya kuimarisha Ukabila kwa Wateule wake, akina Biswalo Mganga na wenzake.
Angalia line-up ya Ex-DPP Biswalo, AG Kilangi, nafikiri hata Solicitor General; wote Kanda ya Ziwa!
Mzee alikuwa mkabila Sana, Kuna makabila Nchi hii hayafai kupewa madaraka makubwa (kauli ya baba wa Taifa
 
Katiba yetu ya 1997 ibara ya 59B inamtaja DPP na majukumu yake mengi liliwepo la kuangalia aina ya mashitaka ya jinai yrnyr lengo la KUTENDA HAKI, sasa kabla ya kuwahukumu watumishi ambao inasemekana wapo ofisi ya DPP; ni muhimu kutambua kuwa watumishi wa serikali hupatikana kwa meritocracy in a competitive basis, failure to that amount to their firing, Pili, ni lazima kujua kama wanazo SIFA za kukaa kwenye nafasi hizo kwa kuangalia academic credentials na uzoevu wa Kazi or seniority.

Kama itaonekana wanapungukiwa na sifa mojawapo ya hizo za kitaaluma au uzoevu, wanaweze kubadilishwa au kupew anafasi ya kuwa bora zaidi. Ni muhimu kuepuka kujenga nchi ya upendeleo na kubebana kwa kutaka kila Mkuu wa Taasisi ya umma anapoingia kwenye ofisi mpya kuwaondoa wote aliowakuta, hii itaondoa ile dhana ya organizational continuity/memory.

Let justice be done even though the Heaven falls--fiat justitia omnibus
 
Kinacho lalamikiwa ni weledi wao na siyo taaluma zao.
 
Kwani ndani ya chadema wameteuana vipi--kipimo sahihi cha ukabila
 
Hata kama ni kinyume cha Sheria, nimetoa mchango wangu dhidi ya "Genge la Uhalifu", niko tayari kuwajibika.

Hawa wametesa Watanzania wengi wasio na hatia kwa kuwabambikiza makosa ya uhujumu uchumi na kuchukua fedha zao.
 
Your wish won't be granted
Kwani na wewe Vesuvius ni mmoja wao?

Mbona mnaingilia kazi ambayo hamjaombwa? Mimi kazi yangu ilikuwa ni kuutaja mtandao ili DPP ajitathmini mwenyewe kama yuko safe nao au hapana.

Muda utatuambia, iko siku tutarudi hapa hatua zikichukuliwa
 
Wewe unaonyesha ni mtu wa majungu na unapenda sana upate hizo nafasi , huna cha zaidi , ofisi zina utaratibu na hakuna mtu atakayeleta utaratibu wake binafsi fanya kazi.
Kama mlidhulumiana usichanganye mambo binafsi na kazi.
Kwani whistle blowing policy ya TAKUKURU au Polisi inatumia Official Reports ? No inatumia grapevine au unofficial information kama hizi. Ni juu ya mlengwa kuchunguza, akikuta uwongo ana IGNORE, akikuta kweli anachukua hatua.

I can assure you nilichoandika kitazaa matunda, stay tuned
 

You’re just harassing people here purely for personal reasons. DOB na bank accounts za watu zina relevance gani hapa? Wewe either ni poor performer kwenye office ya DPP or una jamaa yako pale ambaye ni poor performer. Zote hizi ni hasira za poor career progression.

Pambana na hali yako; acha majungu mtoto wa kiume (au wa kike, as the case may be). Huna authority yoyote ya kumpangia DPP jinsi ya kufanya kazi zake. Subiri uwe DPP ili ufanye wewe hayo mabadiliko unayotaka. Watu mnakalia majungu tu. Mteule wa Rais anapata wapi uwezo wa kumuandaa mrithi wake? Nonsense!
 
Huyu Mleta Uzi atakuwa Ni Sehemu ya watumishi wa Ofisi Ya Dpp Ndio Maana ameandika Mpaka check number zao na Uzi Umejaa Wivu Ndani yake
Halafu taarifa binafsi huwa chini ya HR. Je, ingepunguza nini kutoa taarifa tu bila personal details ambayo inapaswa kubaki confidential?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…