kidereko
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 882
- 1,262
Dah,kwaiyo yupo jelaHuyu si alihamishiwa Manyara akakutwa na TAKUKURU amepokea rushwa ya milioni tano? Ana kesi Manyara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,kwaiyo yupo jelaHuyu si alihamishiwa Manyara akakutwa na TAKUKURU amepokea rushwa ya milioni tano? Ana kesi Manyara
Dingi yakoOh! Sawa Bi Joyce Mukya.
Umeleta lugha isiyo na ustaha ndio majibu yake
Basi sawa tupo pamoja mkuu.Mimi ndo MTU wa kwanza kumchallange mtoa mada juu ya hayo majina,nashangaa wewe kuniuliza tena.
Nadhani alipata dhamana kesi inaendeleaDah,kwaiyo yupo jela
huyo alikuwa boss wa waendesha mashtaka pale Kisutu nakumbukaNadhani alipata dhamana kesi inaendelea
Yap tap. Hiyo noma anaweza kuwa wangeimaliza kimyakimya Ila alipelekwa Mahakamani. Kule Manyara kuna mkurugenzi wa TAKUKURU mnoko kwelikweli naona walipishana na mshkajihuyo alikuwa boss wa waendesha mashtaka pale Kisutu nakumbuka
Huyo mkurugenzi wa TAKUKURU usimuite mnoko,Bali anafanya kazi yake kwa uzalendo, Kishenyi alikuwa anapenda fedha kupita kawaidaYap tap. Hiyo noma anaweza kuwa wangeimaliza kimyakimya Ila alipelekwa Mahakamani. Kule Manyara kuna mkurugenzi wa TAKUKURU mnoko kwelikweli naona walipishana na mshkaji
Tunafahamu hilo, Judiciary tunashauri na ku-lobby tu.Ofisi ya DPP haiko chini ya Mahakama . Ipo kikatiba ni independent.
Mkuu mbona umepanic Sana!!
Hizi account ndo walikuwa wanasunda zile pesa walionyanganya matajiri wa nchi?
Zichunguzwe ili kujiridhia kwa kutoa haki kwamba mpunga uliomo humo unaendana na kipato chao.
Unasema vema.Kwani ndani ya chadema wameteuana vipi--kipimo sahihi cha ukabila
Pulchra Animo Pole sana. Kama si mmoja wao basi wewe ni ndugu wa mmoja wao. Yaite majungu kwa kuwa hujui unyama wa ofisi ya DPP kipindi cha Mwendazake. Kama alivyokufa Mwendazake na akaacha hela alizokusanya kiharamu, naku hakikishia kuwa hata kama Mwakitalu hatawashughukikia basi wasuburi hukumu ya MunguLabda kama una definition yako binafsi (sio standard definition) ya neno “panic”.
Hao victims wote wa huyu loser siwajui hata mmoja, lakini kuna kila dalili kwamba mleta mada ni mmoja wa watu wanaondekeza majungu kazini wakiamini, kwa kufanya hivyo, watapiga hatua katika careers zao. Losers/poor performers wengi wana tabia hizo! A well meaning and honest person cannot publish the kind of information that this loser has published here. That’s just harassment of people who always outperform him or her at workplace!
Nasikia kuna wakati Biswalo alipokua DPP alitembelea magereza yaliyopo Dar. Baadhi ya mahabusu niliopata kuongea nao wanasema jamaa aliongea kwa kiburi, dharau majivuno na roho mbaya sana. Alijaa kiburi na kujifanya yeye ndio alpha na omega! Aliua matumaini ya washitakiwa kwamba hawatatendewa haki maana kila kitu mpaka DPP apendePulchra Animo Pole sana. Kama si mmoja wao basi wewe ni ndugu wa mmoja wao. Yaite majungu kwa kuwa hujui unyama wa ofisi ya DPP kipindi cha Mwendazake. Kama alivyokufa Mwendazake na akaacha hela alizokusanya kiharamu, naku hakikishia kuwa hata kama Mwakitalu hatawashughukikia basi wasuburi hukumu ya Mungu
Mi naona wakati mwingine hawa watu tunawabebesha lawama ambazo hazisitahili japokua kwenye taasisi nyingi kuna uozo wa kupindukia.Nasikia kuna wakati Biswalo alipokua DPP alitembelea magereza yaliyopo Dar. Baadhi ya mahabusu niliopata kuongea nao wanasema jamaa aliongea kwa kiburi, dharau majivuno na roho mbaya sana. Alijaa kiburi na kujifanya yeye ndio alpha na omega! Aliua matumaini ya washitakiwa kwamba hawatatendewa haki maana kila kitu mpaka DPP apende
Aliwaambia mahabusu wenye kesi zao kwamba yeye ndio anawaweka pale na yeye ndio anuwezo wa kuwatoa gerezani kwa kadri anavyojisikia. Alionyesha mfano wa kuwaachia kwa nolle baadhi ya washtakiwa palepape gererzani(jambo ambalo sio baya), lakini kitu kibaya ni kwamba aliweka certificate ya kuzuia dhamana karibu kwenye kila kesi hata zile ambazo kisheria zina dhamana ili watu wakae magerezani. Matokeo yake kuna watu wapo mahabusu kwa miaka kumi mpaka kumi na moja na kesi zao hata hazijaanza kusikilizwa!
Kwakweli kama huo ulikua ni mtandao basi ni bora ukasambaratishwa kwa sababu watu wanaumizwa sana. Nataraji DPP Mwakitalu atafanyia kazi maana hata alipokwenda kutembelea Magereza ya Dar mara baada ya kuteuliwa kwenye nafasi hiyo angalau kumekua na matumaini kwamba atafanyia kazi kero za muda mrefu zilizopo ndani ya ofisi yake zinazosababisha watu "kuhukumiwa Vifungo" kabda ya kupatikana na hatia
Wankyo inasemwa kuwa anaishi hotelini (analipia chumba cha hoteli) ili awe karibu na mahakama. Haya ndio matokeo ya Ukwasi wa kutishaHuyo Wankyo na wenzie wana ukwasi wa kutisha ndiyo maana pozi kama watu wazima. Biswalo akiwatengenezea pepo kupitia Plea Bargain
Na hivi zilivyotolewa kwa umma zimeongeza au kupunguza nini?Halafu taarifa binafsi huwa chini ya HR. Je, ingepunguza nini kutoa taarifa tu bila personal details ambayo inapaswa kubaki confidential?