DPP Mwakitalu ondoa uchafu huu ofisini kwako; Ukipuuza usitulaumu

Kwani na wewe Vesuvius ni mmoja wao?

Mbona mnaingilia kazi ambayo hamjaombwa? Mimi kazi yangu ilikuwa ni kuutaja mtandao ili DPP ajitathmini mwenyewe kama yuko safe nao au hapana.

Muda utatuambia, iko siku tutarudi hapa hatua zikichukuliwa
Nina uhakika wewe unafanya kazi ofisi hiyo. Tena ni rafiki wa mmoja kati ya hao uliowasanua. Na husda zako hazitafanikiwa.
 
Ajabu
 
Hata kama ni kinyume cha Sheria, nimetoa mchango wangu dhidi ya "Genge la Uhalifu", niko tayari kuwajibika.

Hawa wametesa Watanzania wengi wasio na hatia kwa kuwabambikiza makosa ya uhujumu uchumi na kuchukua fedha zao.
Kwani Huyo DPP mpya yeye ni msafi kiasi gani
 
Mkuu mbona umepanic Sana!!
 
Hata kama ni kinyume cha Sheria, nimetoa mchango wangu dhidi ya "Genge la Uhalifu", niko tayari kuwajibika.

Hawa wametesa Watanzania wengi wasio na hatia kwa kuwabambikiza makosa ya uhujumu uchumi na kuchukua fedha zao.
Hivi Mutalemwa Kishenyi bado yupo pale Kisutu
 
sisi MAHAKAMA [Judiciary] tumepokea na nitamshirikisha Jaji Kiongozi , hii tuhuma tutafanya uchunguzi tuone ukwelina hatua ya kuchukua itafuata.
 
Hakuna msukuma anaitwa Mwakitalu mjomba, huyo mtu wa Mbeya
Nikuongezee hata huyo Mwakitalu ni Msukuma, huyu jamaa ni mtumishi Ofisi ya DPP anapenda madaraka sana , sasa anataka abahatike na yeye , yote hayo ni wivu tu, .
 
sisi MAHAKAMA [Judiciary] tumepokea na nitamshirikisha Jaji Kiongozi , hii tuhuma tutafanya uchunguzi tuone ukwelina hatua ya kuchukua itafuata.
Ofisi ya DPP haiko chini ya Mahakama . Ipo kikatiba ni independent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…