DPP Mwakitalu ondoa uchafu huu ofisini kwako; Ukipuuza usitulaumu

Watumishi wengi ni watu hatari sana, hasa hawa watu walio jikita kwenye mambo ya mashitaka kwenye mahakama, ni watu wa kuogopa sana .wanaweza kukumaliza kama sio kukufilisi,wana ukiritimba mkubwa sana,wachunguzwe hao lazima kuna jambo litabainika endapo watawatazama kwa macho yote.
 
Kuna msukuma anaitwa Kimaro au Mkude au Komanya?
Kwa hakika Kimaro na Mkude ni Mchaga na Mluguru, respectively, lakini Komanya ni Msukuma, chapa ng'ombe!
Komanya alikuwa mtu mwema sana, lakini kama wasemavyo Wasukuma, 'fedha fedheha'.
Komanya wa yule tuliyekuwa tunachangishana kulipa bili kwenye kinywaji Bar, sehemu fulani Jijini Mbeya, amegeuka.
Komanya mpenda watu kabadilika.
Komanya msikilizaji watu amebadilika.
Nasikitika fedha zimembadilisha.
Natamani kumuona Komanya wa zamani.
 
Mtandao wa Biswalo umetengeneza sana hela pale. Mbona walikuwa wanasema wenyewe kuwa plea bargain ilikuwa ni shamba la Bibi!!
 
Mtandao wa Biswalo umetengeneza sana hela pale. Mbona walikuwa wanasema wenyewe kuwa plea bargain ilikuwa ni shamba la Bibi!!
yameanza kujitokeza taratibu kama ulivyosema
 
Je DPP Mwakitalu.; Huu ujumbe wangu wa July 2021 uliufanyia KAZI au ULIUPUUZA?
 
Piga chini mtandao wote uzuri huyu DPP na yeye alikuweo hapo hapo anayajua yoote tena kwa undani zaidi subiria pangua pangua soon Mwakitalu yuko makini tunamjua.
Hata mikoani wapo, mfano pale SIMIYU ofidi ya mwendesha mashtaka ni ya ovyo kuliko maelezo wametengeneza ka umoja uchwara na polisi wanawakamua raia pesa kwa kesi za kihuni.
 
Uchambuzi kuntu, ila umeharibu kwenye ushauri..
Unasema hao wahalifu wahamishiwe ofisi zingine!
Kwanini wasiwekwe wanakostahili kuwa, Gerezani?!!!
 
Je tumefika wapi baada ya taarifa hii? Au DPP Mwakitalu uliipuuza?
 
Je tumefika wapi baada ya taarifa hii? Au DPP Mwakitalu uliipuuza?
Msipende kumpangia DPP watu wakufanya nae kazi, yeye Kama Kiongozi Mkuu wa Mashitaka naamini kabisa yeye anajua vizuri sana watu kufanya nae kazi, mwacheni cocha apange team yake mwenyewe,hata akifungwa atajua mapungufu yako wapi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…