Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
PoaMkuu Kindeena
Nakuomba radhi sana, nilishindwa kumsoma vyena mlengwa wa jawabu.
Nisamehe kwa hilo
Ahsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaMkuu Kindeena
Nakuomba radhi sana, nilishindwa kumsoma vyena mlengwa wa jawabu.
Nisamehe kwa hilo
Ahsante
Mambo ya DP World hayajaisha tuu? Je Gati anazosimamia DP World ndio Kanisa linapotishiaga mambo yake? 8-11Wana Jamii
Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu.
Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu kupitia kichaka cha siasa, au kupitia kichaka cha dini, tunaona kwamba mawazo yeke mtu huyo yametoka mbinguni.
Tunalishindwa kufanya ni kuzitafakari fikra hizo kiundani kwa mantiki na kima cha juu. Mfano mzuri ni hili suala la bandari kupewa DPW imeleta zahama isiyokwisha na porojo refu sana, saa nyengine hata tunashindwa kuelewa watu wanazungumzia nini.
Ukweli wa maisha ni huu, adui mkubwa zaidi wa mtu ni fikra zake mwenyewe. Hili ndio tatizo sugu linaloisumbuwa jamii sio ya watanganyika walala hoi walio wengi tu bali watu waliowengi popote pale. Tatizo la pili, ukweli ni bidhaa adimu na chache sana. Tatizo la tatu, midomo ya wanaofaidika haijui maana ya neno "UKWELI KWA WOTE".
Sasa tuje katika suala nyeti la bandari. Kusema ukweli hata mie nilidhani kwamba watanganyika wamekasirika kwa kupewa Waarabu bandari ya DSM, nililogundukwa ni kuwa hata amgepewa Myahudi watanganyika wangewekwa vidudu kichwani na kupangiwa mazingira ya kuongeza porojo kama kawaida tu.
HAPO CHINI NDIO CHANZO CHA ZOGO LA DPW
Sababu ya kwanza: Chanzo kikubwa sana cha zogo kuhusu bandari kupewa DPW ni kwamba, bandari ndio penye mlo mkubwa wa KANISA kupitia taasisi moja iitwayo TRA. Kanisa wanachukuwa mabilioni kutoka serekalini, serekali inapata pesa za bure kupitia TRA. KANISA linachukuwa pesa hizo kwa kichaka cha uendeshaji wa mahospitali. Ni uzembe uliopita kipimo kuwaruhusu waendesha kwaya makanisani kuendesha sekta ya tiba. Matekeo yake hosptali zimezorora sana. Kanisa hawana sababu ya kuhisi kwamba DPW ni kitu chema sababu mlo wao wa bure ndio unawaaga hivi.
Sababu ya pili: ni kwamba mafisadi wanajaza matumbo yao yasiyoshiba abadan mupitia bandarini. Hawa pia huna la kuwafanya wakahisi DPW ni kitu chema.
Sababu ya tatu: ni wafanya biashara wakubwa. Wafanya biashara wanashirikiana na mafisadi walio bandarini katika kuhujumu uchumi. Wafanya biashara hao wahana pia sababu ya kufikiri DPW ni kitu chema kwao.
Kwahivo, kwa ninavo mie, zogo la DPW limeanzishwa na kuchochelewa na KANISA, MAFISADI na WAFANYA BIASHARA WAKUBWA. Na hao wote watatu ni wahujumu wa uchumi wa tanganyika.
Ahsanteni.
Mambo ya DP World hayajaisha tuu? Je Gati anazosimamia DP World ndio Kanisa linapotishiaga mambo yake? 8-11
Ndugu Mzanzibar Huru labda kidogo tufahamishane vizuri maana ulichoandika hapa juu kina maswali ya kujiuliza mengiWana Jamii
HII NI TATHMINI YANGU

Hii kali yaani mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya kodi kwa ajili ya Kanisa? hahahaa da ama kweli hii kali ya mwaka maana tra wapo wakristo tu wanafanya azi hiyo tena forodha kuna wakristo wote hahahaaaa da nchi hii inavituko. Unatoa wapi mawazo haya ndugu? Makanisa yanafanya biashara gani? Yapewe mgao gani kwani wamewekeza nini? hata kama wangekuwa wamewekeza je kuwekeza ndiyo wapewe mgao maana tra kazi yao kukusanya kodi. ushasikia tra wanatoa hisa? sasa iweje useme leo eti kanisa wanapata mgao toka tra. tra viongozi wake ukiulizia wapo mchanganyiko waislamu na wakristo sasa iweje useme eti wanasimamia kanisa kweli?Mkuu Sexless
Ahsante kwa maoni na suala lako.
Lakini nilosema ni kwamba bandarini ni penye mlo mkubwa kwa kanisa, mafisadi na wafanyabiashara. Sikusema bandarini ni pahala pekee penye mlo. Wala sikusema kwamba TRA inafanyakazi bandarini tu.
Ndio, TRA inaipa mabilioni kanisa kupitia bandari. Sababu TRA inajitahidi kuwacha makontena ya kanisa kupita bila malipo bandarini, huo ni ukweli unless ujifanye ukweli huu pia huutaki.
Nadhani sasa kiswahili chanu kimekuwa wazi na umenifahamu. Si lazima ukubaliane na mawazo yangu kwani hayo ni mawazo yangu binafsi kama weye ulivyokuwa na mawazo yako binafsi.
Sexeless kuema [
unakusudia nini? Je weye huamini uhuru wa kusema, huamini demokrasia, huamini uhuru wa kila mtu kupenda na kuchukia bila kulazimishwa? au unaamini unachokipenda weye ndio kila mtu lazima akipende hicho? umepata elimmu yako wapi, USSR, Cuba au North Korea?
You need to wake up; the days of worshipping people are over. I don't have to kiss your hands for me to be seen as a good person.
Ahsante sana.
Aise!!Wana Jamii
HII NI TATHMINI YANGU
Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu.
Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu kupitia kichaka cha siasa, au kupitia kichaka cha dini, tunaona kwamba mawazo yeke mtu huyo yametoka mbinguni.
Tunalishindwa kufanya ni kuzitafakari fikra hizo kiundani kwa mantiki na kima cha juu. Mfano mzuri ni hili suala la bandari kupewa DPW imeleta zahama isiyokwisha na porojo refu sana, saa nyengine hata tunashindwa kuelewa watu wanazungumzia nini.
Ukweli wa maisha ni huu, adui mkubwa zaidi wa mtu ni fikra zake mwenyewe. Hili ndio tatizo sugu linaloisumbuwa jamii sio ya watanganyika walala hoi walio wengi tu bali watu waliowengi popote pale. Tatizo la pili, ukweli ni bidhaa adimu na chache sana. Tatizo la tatu, midomo ya wanaofaidika haijui maana ya neno "UKWELI KWA WOTE".
Sasa tuje katika suala nyeti la bandari. Kusema ukweli hata mie nilidhani kwamba watanganyika wamekasirika kwa kupewa Waarabu bandari ya DSM, nililogundukwa ni kuwa hata amgepewa Myahudi watanganyika wangewekwa vidudu kichwani na kupangiwa mazingira ya kuongeza porojo kama kawaida tu.
HAPO CHINI NDIO CHANZO CHA ZOGO LA DPW
Sababu ya kwanza: Chanzo kikubwa sana cha zogo kuhusu bandari kupewa DPW ni kwamba, bandari ndio penye mlo mkubwa wa KANISA kupitia taasisi moja iitwayo TRA. Kanisa wanachukuwa mabilioni kutoka serekalini, serekali inapata pesa za bure kupitia TRA. KANISA linachukuwa pesa hizo kwa kichaka cha uendeshaji wa mahospitali. Ni uzembe uliopita kipimo kuwaruhusu waendesha kwaya makanisani kuendesha sekta ya tiba. Matekeo yake hosptali zimezorora sana. Kanisa hawana sababu ya kuhisi kwamba DPW ni kitu chema sababu mlo wao wa bure ndio unawaaga hivi.
Sababu ya pili: ni kwamba mafisadi wanajaza matumbo yao yasiyoshiba abadan mupitia bandarini. Hawa pia huna la kuwafanya wakahisi DPW ni kitu chema.
Sababu ya tatu: ni wafanya biashara wakubwa. Wafanya biashara wanashirikiana na mafisadi walio bandarini katika kuhujumu uchumi. Wafanya biashara hao wahana pia sababu ya kufikiri DPW ni kitu chema kwao.
Kwahivo, kwa ninavo mie, zogo la DPW limeanzishwa na kuchochelewa na KANISA, MAFISADI na WAFANYA BIASHARA WAKUBWA. Na hao wote watatu ni wahujumu wa uchumi wa tanganyika.
Ahsanteni.
Kwa uelewa wangu mdogo wakati nasota kutafuta maisha niliwahi pitia pitia nyaraka mbali mbali za tra sababu nilikuwa napenda sana kujifunza sababu chuoni Arusha tulikuwa tunasoma pia na Business laws na taxi .Labda nami nichangie kulingana na maoni yanguWana Jamii
HII NI TATHMINI YANGU
Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu.
Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu kupitia kichaka cha siasa, au kupitia kichaka cha dini, tunaona kwamba mawazo yeke mtu huyo yametoka mbinguni.
Tunalishindwa kufanya ni kuzitafakari fikra hizo kiundani kwa mantiki na kima cha juu. Mfano mzuri ni hili suala la bandari kupewa DPW imeleta zahama isiyokwisha na porojo refu sana, saa nyengine hata tunashindwa kuelewa watu wanazungumzia nini.
Ukweli wa maisha ni huu, adui mkubwa zaidi wa mtu ni fikra zake mwenyewe. Hili ndio tatizo sugu linaloisumbuwa jamii sio ya watanganyika walala hoi walio wengi tu bali watu waliowengi popote pale. Tatizo la pili, ukweli ni bidhaa adimu na chache sana. Tatizo la tatu, midomo ya wanaofaidika haijui maana ya neno "UKWELI KWA WOTE".
Sasa tuje katika suala nyeti la bandari. Kusema ukweli hata mie nilidhani kwamba watanganyika wamekasirika kwa kupewa Waarabu bandari ya DSM, nililogundukwa ni kuwa hata amgepewa Myahudi watanganyika wangewekwa vidudu kichwani na kupangiwa mazingira ya kuongeza porojo kama kawaida tu.
HAPO CHINI NDIO CHANZO CHA ZOGO LA DPW
Sababu ya kwanza: Chanzo kikubwa sana cha zogo kuhusu bandari kupewa DPW ni kwamba, bandari ndio penye mlo mkubwa wa KANISA kupitia taasisi moja iitwayo TRA. Kanisa wanachukuwa mabilioni kutoka serekalini, serekali inapata pesa za bure kupitia TRA. KANISA linachukuwa pesa hizo kwa kichaka cha uendeshaji wa mahospitali. Ni uzembe uliopita kipimo kuwaruhusu waendesha kwaya makanisani kuendesha sekta ya tiba. Matekeo yake hosptali zimezorora sana. Kanisa hawana sababu ya kuhisi kwamba DPW ni kitu chema sababu mlo wao wa bure ndio unawaaga hivi.
Sababu ya pili: ni kwamba mafisadi wanajaza matumbo yao yasiyoshiba abadan mupitia bandarini. Hawa pia huna la kuwafanya wakahisi DPW ni kitu chema.
Sababu ya tatu: ni wafanya biashara wakubwa. Wafanya biashara wanashirikiana na mafisadi walio bandarini katika kuhujumu uchumi. Wafanya biashara hao wahana pia sababu ya kufikiri DPW ni kitu chema kwao.
Kwahivo, kwa ninavo mie, zogo la DPW limeanzishwa na kuchochelewa na KANISA, MAFISADI na WAFANYA BIASHARA WAKUBWA. Na hao wote watatu ni wahujumu wa uchumi wa tanganyika.
Ahsanteni.
Mungu chukua kiumbe chako hiki ,maana hakina faidaWana Jamii

Nilitaka kushangaa Kanisa linapewaje pesa na tra wakati TRA ipo kwa ajili ya serekali ili kuendesha nchi? kumbe taratibu ni misamaha ambayo ipo kisheria.Sasa DPW itazuiaje wakati tra bado watakuwa na jukumu la kukusanya? vingine watu tuwe tunafanya tafiti siyo majungu yasiyo na uthibitisho.Eti kanisa linatoka kivipi? hii kali nimesoma nashukuru mdau umetupatia mwanga na uelewa data kama hizi zinaweka uzi vizuri kwa kuweka factsKwa uelewa wangu mdogo wakati nasota kutafuta maisha niliwahi pitia pitia nyaraka mbali mbali za tra sababu nilikuwa napenda sana kujifunza sababu chuoni Arusha tulikuwa tunasoma pia na Business laws na taxi .Labda nami nichangie kulingana na maoni yangu
Misamaha ya kodi ni jambo la kisheria na sio maono au matakwa ya mtu binafsi au kundi la watu wa aina fulani, laa hasha bali kila msahama wa kodi unatoka katika tamko rasmi la sheria ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na sio vinginevyo na katika hili naomba nikupe mifano kadhaa ya sheria inayotoa misamaha ya kodi na sababu ni takwa la kisheria mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kama msimamizi wa masuala ya kodi nchini Tanzania hana budi kusimamia utekelezaji wa sheria kama ipasavyo kikamilifu.
1. Katika masuala ya kilimo (misamaha ya kodi hutolewa katika uingizaji wa vifaa vya kilimo),
2. katika sekta ya tiba na afya (misamaha ya kodi hutolewa katika uingizaji wa dawa na vifaa tiba),
3. katika kuendeleza biashara na uwekezaji (msamaha wa kodi huwekwa katika maeneo husika la utengenezaji wa bidhaa zinazotoka nje ya nchi),
4. katika kudumisha ustawi wa jamii (serikali hutoa misamaha ya kodi katika taasisi zote za kidini zilizosajiliwa nchini, mashirika yote ya hisani yaliyo sajiliwa nchini na mashirika yasiyo ya serikali yaliyosajiliwa nchini)
5. katika kudumisha mahusiano na ushirikiano wa kimataifa (serikali hutoa misamaha ya kodi kwa balozi zote zenye hati thabiti za utambulisho, mabalozi wote duniani watakao tembelea nchi yetu ya Tanzania, taasisi zote za kimataifa zenye hadhi ya kidiplomasia inayotambulika kisheria)
6. katika shughuli wa uchimbaji wa madini, serikali pia hutoa misamaha ya kodi mfano Matumizi yote yaliyotumika kwa mwaka (matumizi ya mtaji na mapato) hukatwa wakati wa kukokotoa mapato yanayotozwa kodi.
7. Katika masuala ya elimu na kuhakikisha taasisi za elimu zinaajiri wafanyakazi wa kutosha na kutoka huduma bora serikali imeweka msamaha wa kodi wazi wazi na bure kabisa kwenye ushuru wa kukuza ujuzi katika shule za awali, shule za msingi, shule za sekondari; shule za ufundi, elimu na mafunzo; vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu; na taasisi za afya za kidini.
Kwa ufupi mifano ni mingi sana lakini naomba ufahamu kila msamaha wa kodi ambao mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inausimamia na kutekeleza, TAMBUA KUWA YOTE INATOLEWA KISHERIA kwa mujibu wa vipengele husika vya sheria husika kulingana na msamaha wenyewe na mlengwa wa huo msamaha.
Kabisa. Kuna mijitu inapenda sana kuona kuna machafuko yanatokea.Jitu linaleta ukabila mara udini kwa kuleta vitu vya kufikirika. Sasa ukisoma unashangaa mara wakristu huku anajiita Mzanzibar Huru kama siyo kuleta uchonganishi kwa makusudi na kuihusisha taasisi ya serekali inayotegemewa kukusanya mapato. Mijitu kama hii ni kuikamata na kuichapa fimbo kisha sweka ndani. Wakristo wamekosa nini? Kwani karamagi alipokuwa TICTS waislamu walipita bure na wakristo walibanwa? Tuache ujinga na kutaka kuona nchi inavurugika wengine familia zetu zimeingiliana dini mpaka makabila.Pumba kama hizi tusingependa kuzisikia sababu hakuna ukweli wowote eti maoni yangu.Mungu chukua kiumbe chako hiki ,maana hakina faida