Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DP World ni kampuni ya watanzania wenzetu, wanasubiri waibe hela za Miradi kisha ndio waagize mitambo. Pitia kwenye ile mikataba kama Kuna popote kiongozi wa Emirates kasaini mle, ila hapa kwetu rais kaweka Saini kabisa.Nakumbuka DPW baada ya vuta nikuvute walisaini mkataba wa kuanza kazi. Swali langu. Je wameishaanza kazi?. Kama wameanza kazi wametulipa dollar ngapi?. Na kama bado kuna tatizo gani?.