johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dr takataka!Dr. Anaongea Kirahisi ivi kwenye mambo yenye maslahi ya taifa .
PhD zingine ni makaratasi tu.
Jukumu la msemaji ni kuongelea mambo katika urahisi ili wananchi wote waeleweDr. Anaongea Kirahisi ivi kwenye mambo yenye maslahi ya taifa .
PhD zingine ni makaratasi tu.
CAG Kichere kaambiwa afuate na atii maelekezo ya mihimili yote ya Nchi wakati Katiba inamtaka awe independent na asipokee maelekezo wala maagizo kwenye Utekelezaji wa kazi zake hili nalo linahitaji wachambuzi wa Kisiasa?
Auditor kaamrishwa kufuate maelekezo ya auditee hatare sana
Mods naomba hii muiunganishe pale juu!
Kina Musiba?Serikali ndiyo inatakiwa kuwa-prove wrong hawa wawanaojiita wachambuzi wa siasa ili wanachi tuweza kuwapuuza.
Ikishindwa kufanya hivyo hawa wachambuzi watapata milage kubwa sana na hatinaye kusababisha uchochezi
Kina Musiba?
Huyo jamaa msemaji wa Serikali hana vyeti na hata kama anavyo kichwani ni mweupe atakuwa kanunua vyeti ama alisoma kiujanja janja kwa kukariri, mambo ya msingi anayachukulia poa hicho cheo cha msemaji wa Serikali kifutwe kwani hakina maana tena.Msemaji wa serikali ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa, haki za binadamu na kustaafu kwa CAG.
Dr Abbas amesema ukiachalia mbali CAG hata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewekewa kanuni zinazombana na kumuongoza katika utendaji wake wa kila siku.
Kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa Dr Abbas amesema mambo yote yamekwenda vizuri na wenye malalamiko watasikilizwa.
Kadhalika amewataka wananchi kuwapuuza watu wanaojiita "wachambuzi wa siasa" kwa kuwa watu hao wamejaa ubabaishaji na uchochezi.
Source Star tv habari
Jukumu la msemaji ni kuongelea mambo katika urahisi ili wananchi wote waelewe
Hana vyeti wakati ni Ph.D holder?!Huyo jamaa msemaji wa Serikali hana vyeti na hata kama anavyo kichwani ni mweupe atakuwa kanunua vyeti ama alisoma kiujanja janja kwa kukariri, mambo ya msingi anayachukulia poa hicho cheo cha msemaji wa Serikali kifutwe kwani hakina maana tena.
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania
Endelea kuchapa kazi Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
Mwanzoni nilikuwa namshangaa huyo Kunguni wa kijani, lakini baada ya kujua ni mwezi mchanga nikaachana naye.We mbona unahangaika sana kila topic upo kibaya zaidi huna hoja ni kama wale wamama wa mkoleni!! Hali ya nchi ni tete we unapigia zumari wanaoiharibu. Kama nyie ndio vijana wa kutetea nchi basi we are in a deep shit!