Dr. Abbas: Siyo CAG tu anayebanwa na Katiba bali hata Rais wa JMT ana masharti yanayomuongoza katika utendaji wake

Huo ndio ufafanuzi wa Msemaji wa Serikali? Ni heri HAJI MANARA angechukua nafasi hiyo.
 
Abasi aache ujinga.. wananchi tuna hasira zetu.
 
Kama kuna mtu anani put-off nikiona statement zake ni huyu msemaji, mara mia angekuwa hata mganga wa kienyeji, anaongea na sisi kama watu ambao hawana akili, mbumbumbu sporadic and miopic. Shithole, kuna mambo yanatia hasira. Time will tell.
 
May be...
 
Tatizo mtukufu na Naibu Rais Daud Bashite wamewadharau watanzania kwa kiwango cha kutisha ndiyo maana huwafanya wajinga
 
Wewe kilaza wa lumumba Tumia ubongo wako vizuri

Chunguza kwa umakini mkuu 100% ya watetezi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu na vilaza wakubwa Bado wamekariri kuwa watanzania ni wajinga
 
Chunguza kwa umakini mkuu 100% ya watetezi wa CCM mitandaoni ni mbumbumbu na vilaza wakubwa Bado wamekariri kuwa watanzania ni wajinga
Asante sana mkuu hawa mashetani wa CCM hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…