Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 597
Alitoa masahart ya ajabu ambayo mh rais hapendi kuona tunanyayaswa na mashart ya ajabu.Kwa hiyo mfalme wa Morocco amegoma kujenga uwanja Dodoma ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoa masahart ya ajabu ambayo mh rais hapendi kuona tunanyayaswa na mashart ya ajabu.Kwa hiyo mfalme wa Morocco amegoma kujenga uwanja Dodoma ?
Masharti gani mkuu, au alitaka na msikiti ujengwe humo humo?Alitoa masahart ya ajabu ambayo mh rais hapendi kuona tunanyayaswa na mashart ya ajabu.
Atokee muandishi wa habari amuulize 100% ya 100 ni ngapi? Tuone atakavo kimbilia kuongea Ki Corona Virus!Halafu sasa hivi wamekuja na utapeli wa kutaja mambo kwa Percentage na zote ni above 80. Utasikia elimu bure utekelezaji ni zaidi ya 90%, mapambano ya rushwa mafanikio ni zaidi ya 85%, miradi yote asilimia huwa ni zaidi ya 80%. Uchunguzi wa takukuru ni 99%. Ukifuatilia vizuri huu utapeli ni wa jiwe toka akiwa waziri alikuwa anatoa taarifa za kupika na alikuwa anatumia mtindo wa hadaa kwa kipimo cha asilimia. Sasa hivi kawa mkulu ndio kawaambukiza wote huo uongo wake.
Alitoa masahart ya ajabu ambayo mh rais hapendi kuona tunanyayaswa na mashart ya ajabu.
Ni mchagga yule!Huyu amekuwa kama yule msemaji Wa sadam Hussein, maneno meengi Na majigambo utadhani mhaya.
Hawa watu wanapishana kauli..
TRC kupitia TV yao wanasema Dar Moro ni 73pc
Moro Makutupora au la ni 25
Hawa wanatuongezea tarakimu
Sent using Jamii Forums mobile app