displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Habarini wanaJF poleni na gharama ya maisha inayotufanya kuhangaika, na majukumu ya hapa na pale.
Pasipo kuwachosha, hili janga la ukosefu wa ajira limefanya watu wabuni mbinu mbalimbali za utapeli pamoja na matumizi ya mitandao nk.
Najua imesha zoeleka sana ule wizi kwa njia ya simu walianza na kushinda bahati nasibu, wakaja na pembejeo za kilimo, mara matrekta, pia wakajifanya ni wafanyakazi wa TIGO wakijidai kuboresha huduma za simu, kwa kubofya namba atakazo kutajia yoote haya ni kufanikisha ile azma yao ya kusumbukia gharama za maisha "cost of living" kwa njia ya kutapeli na kuibia watu. Achalia wale watumishi waVoda walio kuwa wakiiba pesa katika akaunti za NMB kwa njia ya NMB Mobile.
Leo pana huyu Jamaa anjitambilisha kama Dr. Alex Tibaijuka amevamia sekta ya utalii na kuliza watu huko pia.
Binafsi nimemsh'tukia baada yakuona emali yake; coordinatorundp@gmail.com
sasa waweza jiuliza UNDP wanatumia domain ya gmail kwa official emails zake hasa kwa staff wake?? pili kwanini email yake ijitambulishe kwa cheo ati CoordinatorUNDP,
Nisiwachoshe; Tazama hii ni email yake hutumia tour operators;-
Habari naitwa Dr Alex Tibaijuka coordinator UNDP nina wageni wangu 15 ambao wangependa kutembelea sehem tajwa hapo juu kwa siku 13 kuazia tarehe 18 mwezi huu,hawa ni raia wa USA na UKRAINE.
Naomba kujulishwa
simu 0786458586
Hii simu ya pili aliitumia alipomtumia tour company nyingine
Simu 0786458587
Hizo ni baadhi ya namba ambazo tumia huwa anabadilisha; nitarudi na mkasa mzima ambao umetokea juzi.
NAOMBA KUWASILISHA NA KUWATAADHARISHA NA MATAPELI KAMA HAWA,