Dr. Amesema nina AMIBA

Dr. Amesema nina AMIBA

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
51
Sasa sijui nitumie dawa gani kwani nimeandikiwa Metronizadole sasa ni chungu sana. Naomba UShauri
 
ushauri gani unahitaji? mganga amekuandikia Metronizadole kuliangana na aina ya amoeba ambaye amekuinfect.Dawa hazitumiwi kama pipi.Mimi nakushauri uwende kwa mganga yuleyule alikuandikia dose ili akubadilishie dose au chukua kile cheti kinachoonesha diagnosis ya hiyo ameobiasis ili tujue hiyo aina ya amoeba then mimi nitakuwa tayari kukuambia utumie aina ipi ya dawa. NI ushauri wangu wa bure
 
Tumia dawa kwa mujibu wa maelezo ya daktari, kama dawa hizo ulizopewa zimekushinda, rudi tena kwa daktari wako ili ajue akuandikie dawa gani mbadala na sio vinginevyo coz ni daktari wako tu ndie anayejua kwa nini amekuambia utumie hizo dawa na ndie huyohuyo anaetakiwa akubadilishie, UGUA POLE!!
 
mimi nilidhani unasema umetumia hizo dawa hazija kusaidia. Pastor katika swali la tiba ni vizuri ukafuta ushauri wa daktari, mimi nitakuambia tumia asprini siyo chungu ila inatibu nini sijui lakini unaweza kupona kwa imani!!.
 
Ndiyo maana kuna methali inasema.." u got to have a test of your own medicine"
Ina maana kuwa dawa ni chungu na huwezi kupona ugonjwa mbaya bila kunywa dawa chungu au kudungwa sindano inayouma.
Wewe jikaze unywe dawa.
HIVI KWELI UTAWEZA KUSIMAMIA WANAO WANYWE DAWA KAMA MWENYE U MUOGA HIVI?
 
Back
Top Bottom